Search results

  1. Malchiah

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Ndio leo wameamua kutupa taarifa. Rip Ali Hassan Mwinyi
  2. Malchiah

    Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Tafuta eneo zuri kwanzia heka 10 Lima mazao/matunda yafuatayo Nazi-hizi chukua mbegu ya kienyeji mche mmoja 5000-10000. Michungwa-miche 1500-2500 Malimao-1500-2500 Ndimu- 1500-2500 Maembe dodo-2000-3000 Haya ni moja ya mazao/matunda ambayo hayahitaji sana usimamizi ya karibu,pia ukipata mtu...
  3. Malchiah

    Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Nadhani ungeanza Kwa kununua ng'ombe ambao hawana afya nzuri,uwatunze vizuri na kuwanenepesha then uuze. Vijijini kwenye minada utawapata kwa bei nzuri tu,mfano kuna wanaouzwa kuanzia 250000-400000. Ukiwa na uhakika wa malisho,maji na dawa ndani ya miezi 4 unauza na kuongeza wengine. Ndama...
  4. Malchiah

    Mpaka leo sijaelewa ziwa victoria na msaada wake kwenye huduma za maji kanda ya ziwa

    Shida kubwa ni uongozi,mwauwasa ndio moja ya taasisi ya maji kwa miaka hii iliofeli kulinganisha na namna ya upatikanaji wake wa maji. Sanga alijitahidi sana kuingoza hii taasisi lakini baada yake hawa waliofuata ni bure kabisa. Tazama mradi wa Butimba,tangu unaongelewa kuanza kazi mpaka leo...
  5. Malchiah

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Bado una safari ndefu inakuuubiri mbele yako,kubwa shukuru sana Mungu amekupa mlango wa mafanikio na umeishika pesa na kuitawala uwezavyo. Mengine ni mapito ya kawaida kwa binadamu alie hai hapa duniani. Jiulize usingepitia hayo,ungejifunza kweli namna ya kuishi na binadamu? Narudia tena...
  6. Malchiah

    Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa

    Ndio maana wazee miaka ya nyuma walitusisitiza sana kuchunguza unapooa kabla ya kuchukua hatua ya kutambulishana. Hili ni somo zuri umetoa,na moja ya experience ngumu watu wanapitia maishani na hawaweki wazi. Vijana waliotayari kuingia kwenye hii taasisi ya hiari,huu uzi umekuja wakati...
  7. Malchiah

    Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

    Hawa ndio maprofesa walioacha kufundisha,hivi kweli hili taifa litakuja kubadilika kama tuna aina ya wasomi waongo,wazandiki na wanafki kama huyu kweli?! Ile sheria ya China,ya kiongozi mwongo na mbadhilifu kunyongwa ingeletwa bongo,hivi unadhani ni kiongozi gani anepona? Huyu ndio alituambia...
  8. Malchiah

    Akili tu hauna ila mapenzi ni kitu oa sana

    Ishu ya mahusiano yanamhitaji sana Mungu kabla ya akili,kuna vitu nje ya ulimwengu wa mwili usipovijua,hata uwe na akili za GPA 5.0 utafeli. Akili ije baada ya Mungu,utafurahia maisha,mihemko na tamaa zimeponza wengi.
  9. Malchiah

    Tsh. 35m itanifikisha hatua gani kwa nyumba ya aina hii?

    Baada ya kujifunza mambo kadhaa kutokana na makosa kwenye ujenzi,nakushauri uanze na fence. Makadilio ni tofali 2000-2500 Nondo 15 Cement 25 NK. Makadilio pamoja na geti sh 7m Then Anza ujenzi wako. Msingi na jamvi 5m Boma zima 5m Kuezeka hapa inategemea unapandisha bati kwa mita ngapi kwenda...
  10. Malchiah

    Kwanini Watanzania wengi ni wabishi?

    CCM ndio sababu. Tumetengenezewa mfumo wa kuwa kama "Nyumbu". Yaani imefika mahali wema sepetu anaweza kubadili upepo wa nchi kwa scendo,mambo ya msingi hayana wachangiaji,mambo ya kipuuzi ndio wengi wanapelekwa na mafuriko. Mimi nadhani sio wabishi,tumekuwa wajinga,na hatujui kama ni...
  11. Malchiah

    Ushauri: Siyaelewi haya maisha ya ndoa

    Kuishi na mtoto wa mtu bila Baraka za wazazi wake ni shida,hapo ukubali umekosea. Ila ishu ya tabia,unatakiwa ujilaumu mwenyewe,mwanamke kabla hujaanzanae mahusiano ni vyema kujua vitu muhimu ili visikuumize mbeleni. Mfano Tabia zake(mienendo yake) Imani yake(hapa naanisha namna anavyoweza...
  12. Malchiah

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Tunaendelea kujifunza. Biashara ni uthubutu,imani,bidii na uvumilivu. Mungu atusaidie wapambanaji wote tusikose pesa ya kujikimu na kuhudumia wapendwa wetu.
  13. Malchiah

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado Arteta anaendeshwa na kiburi na ujuaji usio na tija,hii gemu ukiondoa goli la off side,bado kiungo kilikuwa ni mfu sana, West ham na Newcastle wamemuonyesha namna tofauti kocha anatakiwa kuutizama mpira. Bado arsenal ina mlima wa kupanda kama itaendelea kutegemea aina ya wachezaji kama Kai.
  14. Malchiah

    Imekula kwako kama mke wako ana Makundi ya Mashosti

    Huwezi mchunga binadamu,kama akili yake ipo kuamini aina fulani ya maisha,hii aichagui jinsia. Tupunguze sana matarajio kwa wenzi wetu,kama ulikubali kumuweka ndani naamini ulimchunguza na kulidhika,haya malalamiko inaonekana kuna mahali unafeli kama mwanaume.
  15. Malchiah

    Ifanye pesa isiwe ya msimu, buni vyanzo vingine vya mapato

    Umeongea vyema kwa sehemu yako, ila maisha yako tofauti sana na maneno/nadharia tunazoambiwa na kusikia. Hakuna asiependa kuwa tajiri, au uchumi wake uwe bora, changamoto ni namna ya kuendelea mchakato wa kukua kiuchumi. Elimu yetu imewafanya wasomi wengi wawe waoga kuanzisha miradi ya...
  16. Malchiah

    Maisha bila siasa

    Maisha ni siasa,na siasa ndio maisha yenyewe. Ukitaka usisikie wala kufuatilia siasa basi inabidi uondoke duniani (uwe mfu)kinyume na hapo utaendelea kuona,kusikia,kuumia,kufurahia siasa zetu hizi za Africa zilizojaa vimbwenga vya kila aina
  17. Malchiah

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hongera kwa Utu na upendo ulionao juu wa wale wa karibu yako. Maisha yanatufundisha vitu vingi sana,sema binadamu tumeumbiwa kusahau. Naomba kujua ile gari ulimpa Jane,au ulifanya utaratibu gani,na kuna kipi kikubwa Mzee Juma alihitaji kukushilikisha? Thanks in advance
  18. Malchiah

    Ipo siku shetani atavidai vitu vyake kwako, we jifanye mjanja tu!

    Achana na pombe mkuu,mengine yote upo sawa,wewe kama Imani yako inaona ni haramu shauri yako. Acha Sisi tunywe kwa raha zetu. Maandiko yana ilani nyingi juu ya kunywa kileo (mambo ya walawi 10:9; hesabu6:3; kumbukumbu la torati 29:6; waamuzi 13:4,7,14; samueli wa kwanza 1:15; methali 20:1...
  19. Malchiah

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Alitolewa eng Antony Sanga,now huyu,hapa lazima kuna tatizo kubwa linaendelea. Why hatuoni waziri akiwajibishwa,zaidi ya makatibu ambao ni kama pambo ndani ya wizara wakati kiuhalisia wao ndio watendaji? Yaani waziri amepewa power kubwa inayomlewesha na kujiona mmiliki halali wa hiyo wizara...
  20. Malchiah

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    -Mtungi wa maji ya kunywa -Kibuyu cha kuhifadhi maziwa -Chungu cha kupikia chakula,msosi wake mtamu sana
Back
Top Bottom