Search results

  1. SHEDEDE

    Pop Corn zimeni-cost Ben Bistro pub, Tanga

    Najua wengi wetu tunaifaham hii pubnmpya lakinu maarufu sanaa haa Tanga. Leo nakula windhock mambo yangu yako vizuri kama si kosei hii chupa ya 6. Ninazo 4 zinasubiri makamuzi hapa mezaji. Kuna demu alikua ananikazia sana jicho. Malaya tu kanisirondea muda mrefu. Nimemuita mbio kaja...
  2. SHEDEDE

    Ninashuhudia mambo mazito kwenye ndoa ya dada yangu. Natamani kumshtua jamaa asiendelee kuibiwa ila nashindwa

    Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo? Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake. Nilishaangaa sana aisee. Mtoto...
  3. SHEDEDE

    #COVID19 Nimepata chanjo ya Covid-19 aina ya Johnson & Johnson, je wewe?

    Wakuu, Leo asunuhi nimepata chanjo ya COVID 19 aina ya Johnson & Johnson; single dozi. Kwakweli najiskia kujiamini sana kwenye vita dhidi ya Covid-19. Najiona ni mzima zaidi na kama vile hii vita nimeishinda. Nimepata vi-contraindications kidogo kama vile kichefuchefu, mdomo kuwa mchungu na...
  4. SHEDEDE

    Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

    Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi. Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo. Atakayeweka na makisio ya gharama...
  5. SHEDEDE

    Nahitaji Gari Toyota Kluger L namba C kwa 8M

    Msaada wenu muhimu Nimejichanga vimilioni hivyo nahitaji hiyo gari rangi nyeusi. Nipe jina la dalali maarufu atakayenipa gari iliyokaza bodi hadi miguu kwa bajeti yangu hiyo Au kama yupo hapa aje PM tufanye biashara. Pia napokea ushauri ila sio kubadili aina ya gari plz bora uniambie...
  6. SHEDEDE

    SHEDEDE nabisha hodi humu!

    Nipokeeni. Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema. Mfano nikitaka mchumba napataje.... Nikitaka kutangaza nauza simu yangu nafanyaje....n.k
Back
Top Bottom