Nadhani tusipersonalize hii issue...
Kwa ujumla mtu yoyote aliyemaliza undergarduate katika vyuo vinavyoaminika, mimi nadhani anauwezo wa kuwa waziri.
Kazi ya waziri ni kusimamia utekelezaji na kuchambua ushauri anaopewa kma una maslahi ya taifa au implication yake. Sijajua elimu ya Open...
Zitto bado anatakiwa awe na muda wa kumature, anaweza kuwa kiongozi mzuri hapo baadaye, lets have at least ten years za pumpitisha kwenye testing ... IQ,uaminifu, Rushwa,.
Slaa amepita vigezo hivyo vyote
Ni hoja ya msingi, ila inahitaji mtazamo mpana na siyo kwa wabunge tu,
Ugumu wa maisha dodoma tusiuweke kwa wabunge peke yao, mimi nadhani wabunge wanatakiwa wajiweke kwenye maisha ya kawaida (standard), hasa wale wanaotegemea posho tu.
Fikiria mfanyakazi wa serikali ambaye naye huenda kwenye...
Kwangu mimi nimemjua Rakesh akiwa haki elimu, then Twaweza na katika vipindi vya televisheni.
I still trust the guy ambaye an argue na data mpaka unakuwa convinced something is wrong.
Anachofanya ni establish niche ambayo anaifanyi akazi kuonyesha what is missing.. which is good.
Naamini ni mtu...
Ni vema akatangaza mapema, maana sasa havi kazi hazifanyiki katika mawizara... nimetembelea wizara mbili tatu jana watu wako restless na mawaziri wa sasa pia.
Halafu, hivi kwa nini Rais amiamue yeye mwenyewe kufanya mabadiliko ya baraza kimya kimya badala ya kufanya advert kwa mba atafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.