Search results

  1. Ophonso

    Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine adaiwa kujaribu kutorosha mamilioni ya dola

    Mkuu zidi kushangaa. Mke wa Ngeleja alitaka kupitisha mabilion kwenye mabegi JkNIA kupeleka Nairobi TISS wakamzuia kwa kuwa mume wake alikuwa waziri wa nishati na madini wakamshauri azipitishe Namanga
  2. Ophonso

    Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
  3. Ophonso

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa wabaguzi wa Ukraine wanawazuia waafrika kupanda treni kutoroka mapigano kwenda Poland. Kinachosikitisha zaidi wanawazuia hadi wanawake na watoto tena wajawazito kisa tu rangi zao za mwili. Acha tu Putin awaanyooshe. Wengi msiojua tangu Putin angie madarakani Urusi Kaleta mabadiliko...
  4. Ophonso

    Soko la Karume limeungua moto

    Mukama Acha roho mbaya
  5. Ophonso

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Mkuu ni Kipilimba siyo Kipilimba. Halafu Kipilimba na Makonda zilikuwa hazihivi.
  6. Ophonso

    Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Unaandika hivi kwa sababu hupo kwenye hizo nafasi. Ukipata utajikuta na wewe unafanya hivyo hivyo. Haya mambo tusiwe tunalaumu sanaaa.
  7. Ophonso

    Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya kikazi nchini Marekani

    Mkuu Taliban nao watatuma mwakilishi?
  8. Ophonso

    Picha zaidi zinazodhaniwa kuwa za Mhalifu wa Selander

    hii tabia ya wanaume kulishana keki
  9. Ophonso

    Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

    Mbezi beach. Toka huko perege sijui begele
  10. Ophonso

    Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

    Kipenzi changu cha dhati njoo huku upepo unapovuma
  11. Ophonso

    Huenda Chalamila hakuridhika na uhamisho, alifanya makusudi ili atumbuliwe

    Za chini chini na duru za uhakika kwamba Chalamila alishaomba mara nyingi sana kujiuzulu wakamkatalia. Akamua juzi ataaitisha mkutano na waandishi wa habari. Wakaamua kumuwahi usiku wa manane kuepukana na aibu
  12. Ophonso

    China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Mambo yao kimya kimya tu na ya uhakika hawana misifamisifa ya kijinga. Na inasadikika wako mbioni kumpeleka binadamu wa kwanza Mars. Hii kitu inawaumiza NASA sana ndo maana Ellon Musk anaweweseka anataka kupeleka 2026 shauri zake
  13. Ophonso

    China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    And it always be. They mind their own business they don't mind other people's business.
  14. Ophonso

    China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Wanakubali tu hivyo hivyo ila inawauma sana. Na ikitokea Mwafrika ama muajemi/iran kwenda Mars watajinyonga kabisa. Ukiona jinsi Marekani walivyoihujumu Huawei wazi kabisa mabeberu wana wivu mbaya sana hasa Marekani ameshindwa kuficha maumivu yake hawa wengine Uingereza ufaransa n. K wanaumia...
  15. Ophonso

    China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
  16. Ophonso

    Huyu mwamba namkubali sana

    Mwisho kuwa kwenye Facebook ilikuwa 2012. Mnakuwa mijitu mipuuzi iliyoshehen usaha kwenye bongo zenu.
Back
Top Bottom