Search results

  1. K

    Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Madhara gani hayo?hizo ni story za mitaani tu, mnara upo juu kama mita 50 toka usawa wa bahari, wewe upo chini, hizo RF, zina kupataje?
  2. K

    Dar: CHADEMA Kuvurumisha Join The Chain Mitaani, inaitwa “Boots on the ground “

    Kweli mambo yanaenda yanaonyesha matumaini kidogo, kidogo, jana mitaa ya tegeta nimeona ffu wako kwenye msafara wa chadema, tena ndani ya pick up ya chadema!!!na bonge la tabasamu!!, ila lile jamaa bora limeondoka zake!!!kwani siasa za upinzani lilizifanya kuwa haramu!!
  3. K

    Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Kwani kipindi cha jiwe, upigaji ulikwisha?mala ngapi naye alikuwa akilalamika juu ya upigaji?!
  4. K

    Rais Samia aridhia kuuza nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu ya mpangaji mnunuzi, watarejesha gharama za ujenzi bila ardhi

    Haziwezi kufika bei hiyo!!hapo hadi vitukuu, hawataweza kumaliza pesa hiyo!!
  5. K

    Polepole usingekubali kuachia ubunge, Rais hana mamlaka ya kukung'oa

    Sasa hapa kwetu rais ndiye mwenyekiti wa ccm, na ndiye kamati kuu ya chama huyo huyo.
  6. K

    Nimempeleka mtu polisi baada ya kuniibia, nashangaa kumuona uraiani akinitambia simuwezi

    Huo ushauri au unataka kumuingiza kwenye matatizo?! Sasa kesi ya jinai utaanziaje mahakamani?!polisi ndio wanapeleka kesi baada ya upelelezi wa awali kukamilika,
  7. K

    Nimempeleka mtu polisi baada ya kuniibia, nashangaa kumuona uraiani akinitambia simuwezi

    Sasa wewe lengo lako ni kumkomoa au ni wewe kupata haki yako?!kosa hilo lina dhamana, je kama ametimiza masharti ya dhamana, asiachiwe?!! Wewe fuatilia hapo uonyeshwe mpelelezi wa kesi yako, upelelezi ukikamilika mtakutana mahakamani!! Kama atakuwa tayari kukulipa myamalize hapo hapo, ndio...
  8. K

    Katavi: Mume amuua mkewe, mwanaye kisa ugomvi wa gunia 60 za mpunga

    Hiyo ni imani tu mkuu!!labda kama mtu amefanya kwa bahati mbaya tu, lakini kwa haya mauaji ya kupanga!!ukiona mtuhumiwa amekwenda kuonyesha mahali alipofukia mwili, jua hicho kipondo chake alichopata si cha kawaida!! Ni sawa sawa na unapoona jambazi sugu amekwenda kuonyesha silaha!!jua alikuwa...
  9. K

    Madaktari waonya kuhusu matumizi ya Vipipi Mahaba

    Unashangaa nini, kwenye mambo ya mapenzi, prof.wa magonjwa ya kina mama, anaweza akashauliwa na std seven juu ya jambo kama hilo na akalikubali!! Sembuse mwanaisha ndala mbovu.
  10. K

    FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

    Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!
  11. K

    Kamati ya PAC yaibua madudu mradi wa REA, bilioni 7 zaongezwa kwenye mradi kinyume na utaratibu

    Shida yao, hasa ni waziri wa nishati, toka kalemani aondolewe, wanaona kama makamba ndio tatizo, wakati kama ni tatizo basi ni aliyemteua, na sio wizara hiyo tu, kote ni yale yale tu., kwa ccm upigaji hauwezi kuisha kamwe.
  12. K

    Kamati ya PAC yaibua madudu mradi wa REA, bilioni 7 zaongezwa kwenye mradi kinyume na utaratibu

    Tatizo lenu hasa mwendazake masalia mna chuki binafsi na january, ina maana kama kila kitu kibaya kinafanywa naye, aliyemteua anaona, basi ndio mwenye matatizo!!nchi hii upigaji haukuwahi kuisha na hautakuja kuisha, kama watu, na mambo ni yaleyale miaka yote.
  13. K

    Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Yapo lakini sio ya kishenzi kama haya ya kiafrika!!kule utasikia mtu kapigwa risasi, lakini haya yetu mtu anachukua viungo vya binadamu mwenzake!!mala wivu wa mapenzi.
  14. K

    Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Umasikini na roho mbaya, ni sawa na pipa na mfuniko!!kwani masikini huwa inafikia ana ona hana kitu cha kupoteza hata kwa tendo ovu ambalo atalifanya!! Ndio maana haya mambo ya mauaji mala nyingi utakuta yanatokea sehemu ambako hali ya maisha yao ni duni!na ndio hupelekea kujiingiza kwenye...
  15. K

    Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

    Acha kuwafanya watu wajinga au ni wakenya, wakongo, ambao hawajui kiswahili vizuri!!toka lini neno ameshahukumiwa tu!!likatumika kuwa ni kuachiwa huru, ?!!na toka lini polisi ndio wakatoa hukumu, ina maana mpelelezi akikukamata na kukuhoji then akakuachia baada ya muda fulani hiyo unaiita...
  16. K

    Je, mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia fulani ya (pensheni)aliyokuwa anapokea marehemu?

    Labda kwenye case hiyo, pesa ya mafao ya marehemu kwenye kile kiwango halisi alichotakiwa kupewa , hakupewa chote, huyo mama kwe wako, kingine kilibakia ili kila mwezi awe analipwa.lakini utaratibu uliopo ni kuwa mstafu anapofariki tu malipo yake ya pensheni ile ya kila mwezi huzuiliwa.Ndio...
  17. K

    Vijembe vya mpambe/Afisa wa GSM aliyekuwepo kwenye kutia saini mkataba hewa wa udhamini

    Bila namungo fc, timu zingefika 16?kwani simba ana nini cha ajabu sana!!
  18. K

    Vijembe vya mpambe/Afisa wa GSM aliyekuwepo kwenye kutia saini mkataba hewa wa udhamini

    Sasa hapo nani aliyevunja mkataba?vipengere vya mkataba vinataka timu zote 16, zivae logo yake, timu moja imekataa na hata mabango yake, hayatakiwi uwanjani, TFF, ndio ameshindwa kutimiza matakwa ya ki mkataba.
  19. K

    Naomba kujua elimu hii kuhusu kulipa kodi za TRA

    Sio kweli kuwa kila mwaka kodi lazima ipande, kodi inapanda kutokana na biashara yako kukua!!mauzo yanavyozidi kuongezeka na kodi inatakiwa kuongezeka pia.
Back
Top Bottom