Search results

  1. Mmasihiya

    Kiwanja kinauzwa mawelewele iringa 800 sq. Meta

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare. Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
  2. Mmasihiya

    TUSAIDIE KUMOTISHA NA KUPASUA MAJIPU WATENDAJI NGAZI YA HALMASHAURI

    Kwa kuwa viongozi wakuu kitaifa wanaendelea na utumbuaji majipu kwa viongozi wasiofaa hasa wenye madaraka makubwa kitaifa, ni vema tukawasaidia kutambua watendaji wanaostahili motisha katika ngazi za halmashauri kwa utendaji wao uliotukuka lakini pengine hawaonekani na pia tusaidie kutambua...
  3. Mmasihiya

    Natafuta mchumba (mke).

    Natafuta mchumba msichana awe na umri usiozidi miaka 26, elimu yoyote ila asiwe na zaidi ya masters, rangi yoyote, dini yoyote, umbile urefu asizidi ft 5,4", asiwe mnene au mnene aliye tayari kufanya mazoezi.. Mimi ni mtanzania, mweupe, elimu shahada 1, umbile mnene kiasi, dini mkristu, urefu...
  4. Mmasihiya

    Najua mtanikaribisha..

    Sio mgeni kama wa mtu jumba kapt. John Komba kwa hiyo msiogope sana, nikaribisheni tu hata vyumba vya uani..
Back
Top Bottom