Search results

  1. Msakapanofu

    Huu ni uzalendo? Hata bendera inageuzwa juu chini!!

    Watanzania wenzangu, Nimeishuhudia hii katika vyombo vya habari viongozi wakikabidhi bendera ya Taifa kwa vijana wa 'The Tanzanite', wanaotegemewa kusafiri leo kwenda kwa hayati mzee Madiba kwa mchezo wa marudiano. Kilichonisikitisha ni kuoneshwa bendera ya taifa iliyogeuzwa juu chini...
  2. Msakapanofu

    Mlokole aangukia majaribuni

    Kuna cha'P' mmoja aliokoka na kushuhudia kwamba kati ya dhambi zote kubwa alizofanya kulewa kupita kiasi ni moja wapo.Kumbe siku alizokuwa akizuga kuokoka alikuwa 'apeche aroro'. Siku ya siku akapata bingo kutoka kwa mjori wake wa siku nyingi (akarudishiwa millioni moja aliyokuwa anadai)...
  3. Msakapanofu

    Nauli za daladala zitofautishwe

    Hii imetokea leo tarehe 2 machi 2012 karibu na Millenium Towers, Old Bagamoyo road
Back
Top Bottom