Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku.
Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi?
https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye...
Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu?
https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930.
HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI
Somo 1-Wahima
KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
Dar kama hujaja siku nyingi, siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu. Kichefuchefu ni kitendo cha mwili kujilinda dhidi ya sumu.
Mtu akila sumu au kitu cha kudhuru mwili una sense na kuleta kichefuchefu ili ukitapike. Sasa hata hewa nzito na mbaya inaenda kushtua eneo lile lile...
Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
Wakati wa kutekeleza Azimio la Arusha serikali ilichukua hisa asilimia 50 za mgodi wa Mwadui. Sasa ikaonekana wafanyakazi wa serikali mgodini pale wanalipwa pesa nyingi sana na Nyerere alitaka kuweka usawa katika kipato cha watanzania. Basi wakataka kuwashushia mshahara na wakapanga wapate...
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
SURA YA 1
KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi.
Safari hii, hata alipofumbua macho, alikuwa na hakika kabisa kuwa risasi mbili alizofyatua zilimpata kiongozi wa nchi kichwani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.