Search results

  1. The Don

    ITV na mbinu za kuisaidia CCM

    ikiwa ni muda sasa tangu kampeni zianze,chama cha mapinduzi(C.C.M) kimepata wakati mgumu sana baada ya kukutana na zomea zomea na sehemu nyingine kukutana na watu wachache tofauti na ilivotarajiwa mbali na kusomba watu,mwandishi Emmanuel Buhohela (ITV) amekua akitumika kuficha aibu hiyo kwa...
  2. The Don

    Ufafanuzi: Kisheria Lowassa sio fisadi

    Ni muda sasa mgombea uraisi kupitia CHADEMA kupitia mwavuli wa UKAWA mh. Edward N. Lowassa anahusishwa na tuhuma za ufisadi kubwa ikiwa ni Richmond,ufuatao ni ufafanuzi wa kisheria dhidi ya madai hayo; 1. Kwa mujibu wa https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:UFISADI Neno hili...
  3. The Don

    Jinsi UKAWA wanavyohujumiwa na serikali

    Ni muda sasa upinzani mkali wa kisiasa umeonekana kati ya chama tawala C.C.M dhidi ya vyama vya upinzani chini ya UKAWA ikiundwa na vyama vinne CHADEMA,CUF,NCCR na NLD ambapo ktk mchuano huu ukawa wameonekana vinara kwa kuibomoa na kuipasua vibaya ccm. katika mchuano huu serikali chini ya ccm...
  4. The Don

    Goli la mkono la Nape Nnauye

    Goli la mkono ni kauli yenye kumaanisha ufungaji wa goli ktk mpira wa mguu usio halali kwa kutumia mkono kinyume na kichwa au mguu kama sheria za miguu zitakavyo,kauli hii ilitolewa na Nape Nauye wa C.C.M akimaanisha ushindi kwa njia yoyote hata zisizo halali kama itambulikavyo na sheria za...
  5. The Don

    Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo...
  6. The Don

    Namna Lowassa atakavojisafisha dhidi ya Richmond UKAWA

    Ni takribani masaa kadhaa yameisha baada ya mbatia kumkaribisha Lowassa UKAWA,huku tukisubiri muda wa kutangazwa rasmi na kuchukua kadi ya cdm akisapotiwa na ukawa Lowassa anatarajiwa kuweka hadharani mambo yalivokua ktk Richmond hadi kuwa kafara ktk chama,hapa ataweka wazi jinsi viongozi wa...
  7. The Don

    Tiba asilia ya vidonda vya tumbo

    Habari nzuri kwa wanajamvi,kwanza poleni na mihangaiko na matatizo ya kila siku,kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo nimepata dawa ya asilia yenye kuponya kutoka kwa baba mmoja toka morogoro,ni dawa itokanayo na majani ambayo huchanganywa na asali kama nusu lita ambapo haina...
  8. The Don

    Tiba ya mwanaume aliyelishwa limbwata

    Hii ni kwa wanaume wote waliooa na ambao waliopo katika mahusiano,iwapo mwanamke kaamua kumchezea akili mwanaume kwa kumwendea kwa mganga/waganga kwa lengo la kumpumbaza,tatizo hili laweza tatuliwa na mama mzazi wa kijana kiurahisi,hii ni kwa kutumia mkojo wake mwenyewe,inashauriwa kuuweka...
  9. The Don

    Adhabu kwa wezi-wala vya watu

    Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana? Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni...
  10. The Don

    Denda limeniponza

    Ni kama miujiza! Nilikua mchumba ambaye kweli ni mzuri kisura,kitabia na umbo pia ajabu ni mara nyingi tukiwa tunasex hataki maswala ya denda kabisa nikachunguza nini tatizo labda ananuka mdomo nkakuta yuko safi, karibuni nkaamua kumwandaa vizuri ili nipate denda maana ndo kinogesho pia. Mtoto...
  11. The Don

    Question on human rights

    Human rights are neither fixed in scope. Nor are they absolute in application" discus the validity or otherwise the statement with reference to human rights istrument of your choice and the practice in tanzania
  12. The Don

    Mwanajeshi akutwa amekufa

    Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae...
  13. The Don

    Back to home special 4 valentine,any gal around moshi

    Mwaka huu nimeamua kuspend valentine yang at ma lovely home country,nshachoka na maisha ya abroad,tatizo ntakuwa lonely sana any gal around come on tuspend together,if u ar ready plz reply or pm 4 more infos
  14. The Don

    Dharau kwa waafrika

    Ukiwa abroad sehemu za kuvukia barabara kwa miguu wanaziita pedestrian cross,huku bongo wameziita zebra cross,hii ni dharau tosha wanatufananisha na wanyama especially punda milia aaarggghh! Lazima tupinge huu ubaguzi
  15. The Don

    Hujuma treni dar

    Huu ni mpango unaosukwa na mafisadi katika kumkwamisha dr. Mwakyembe aonekane si lolote wala chochote,kundi hili linahusisha vigogo wa juu serikalini na watoto wao wenye kumiliki na kutoa huduma ya usafiri jijini dar ambapo inapangwa kutengenezwa ajali itakayosababisha uharififu mkubwa na maafa...
  16. The Don

    Barua kwa baba wa taifa mwl. Nyerere

    Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni I.G.P,raisi anaishi airport,tanzania imetokana na muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe,hayo machache na...
  17. The Don

    Utapeli kwa wapenda vya bure

    Jamaa anajiita salama jabir/sina hakika kama ndiye mwenyewe kama anavojitambulisha,anadai ana huduma ya tigo mixshare(kwa wateja wa yigo tu) ambayo hulipiwa 3500 kwenda no. Wanayoitoa ambayo imesajiliwa kama lwelo emanuel ,na baada ya kuunganishwa unapewa serial master no. Ambazo zinakuwa...
  18. The Don

    Why upungufu wa nguvu za kiume tu?

    Najiuliza hili swali sipati jibu kabisa,utasikia watu wanatafuta dawa na wengine kulalamika sana kuhusu hili tatizo,je wenzetu hawana hili la upungufu wa nguvu za kike?kama lipo inakuwaje na tiba yake? Au ndo hivo kimyakimya? Samahan lakin
  19. The Don

    Kutaja jina la mtu mwingine kunako 6*6

    Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je...
  20. The Don

    Sababu za waandishi kushindwa kuandamana nchi nzima:

    Yale maandamano ya waandishi wa habari yaliyofanyika janakupinga mauaji ya mwandishi mwangosi na ukiukwaji wa haki za raia yanayofanywa na polisi yameshindwa kufikia malengo kwa baadhi ya mikoa na vyombo kutoshiriki,mf. Arusha,singida,moro na vituo kama TBC na Clouds Media,hii imetokana na...
Back
Top Bottom