Search results

  1. W

    Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee

    Migiro v Mdee = Tyson v Matumla
  2. W

    Kiwanja hekari moja kasoro...

    Kipo Mbezi kwa Musuguri karibu na barabara kuu ya mikoani, kina hati. Bei inaanzia Tshs 45m, pungufu unaongea....Hiyo ni opportunity kubwa kama una hela na unafikiria kuwekeza.
  3. W

    Mbelwa Kairuki ateuliwa kumrithi January Makamba Ikulu

    Huyu jamaa hii nafasi aliyoipata sasa ni kubwa sana so inabidi aache kutoka na wake za watu, watoto wote wa mjini tunajua kuwa anamuibia mwanamziki mmoja maarufu wa bendi inayopiga mziki wa kikongo ya hapa Dar.
  4. W

    Natafuta nyumba

    Nashukuru Hebrew, chungulia PM nimekujibu.
  5. W

    Natafuta nyumba

    Huyu mdada hana nyimbo, hiyo blog yake nadhani ina miezi sita sasa haijawa updated! best web ni estate.tzadverts.com, japokuwa kuna links za estate agent wakubwa wa bongo kama utaenda kwenye web ya t-mortgage.com, bei zao za kupanga fully furnished apartments zimekaa kizushi sana, sitaweza...
  6. W

    Natafuta nyumba

    Mbona kuna watu kibao hapa wanatumia majina yao halisi mkuu? Kwanini niogope mtu yeyote kujua identity yangu? kwani nimeua mtu?
  7. W

    Natafuta nyumba

    This deal is still on wadau, changamkieni tenda.
  8. W

    Natafuta nyumba

    Je una nyumba Dar ambayo ni fully furnished yenye at least two bedrooms na hutakuwa ukiitumia katika mwezi wa october? Isiwe mbali sana na town centre na iwe na car park. Inahitajika kwa ajili ya wageni watakaotoka Europe na kukaa hapo kwa at least mwezi mzima and possibly longer. Nitumie PM...
  9. W

    ~::Waridi la Penzi::~

    Asante Mwanakijiji kwa hadithi tamu sana na ya kusisimua lakini Kana Kansungu ameona yale ambayo wengi hatukuyaona, asante KKN kwa constructive critism yako.
  10. W

    Utamu wa Heroin- Beware

    Nilidhani u mtaalamu kwenye mambo ya ngono tu kumbe mpaka kweny e madawa umo kaka?
  11. W

    Nani kasafiri duniani kumshinda huyu?

    Nilitegemea haka kajibu wakati naweka hii hapa....tehe,tehe,tehe!
  12. W

    Nani kasafiri duniani kumshinda huyu?

    Keep watching, hadi bongo imo!!
  13. W

    Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

    Jogoo Wakipigana Ukichoma Kisu Chini Ugomvi Haushi!
  14. W

    Ustaraabu Huu Utaingia Lini Bongo?

    Nafikiri umaskini wetu ndio unatutia tamaa ndogondogo, na ukubwa wa gap uliopo kati ya maskini na matajiri, itakuwa ni vigumu ukiokota elfu 20 uirudishe kwa mwenyewe wakati unajua hujaacha hela mboga nyumbani na hujui kesho wanao watakula nini, hiyo bongo ingekua kama bahati na tena unamshukuru...
  15. W

    Huyu JK vipi???

    Susuviri unajuaje kuwa alikua 'anapayuka'? na alikua hasomi speech iliyoandaliwa? Labda hapo speech writer wake ndo kajipinda kikwelikweli na mkuu mwenyewe akaona iko bomba?
  16. W

    Huyu JK vipi???

    [/B] Kuweni wavumilivu watanzania, Rais wenu hana experience kwenye post yake ya sasa, hajawahi kuwa Rais before kwahiyo on job training haiwezi kukwepeka hapa!
  17. W

    Huyu JK vipi???

    Mbona sioni constructive criticism hapa? labda mkuu wa kaya katoa kauli hiyo kulingana na upeo wake (pamoja na timu yake)wa kufikiri. Tumsaidieni jamani ili next time ajue nini kinapaswa kusemwa aki encounter similar situation.
  18. W

    Mtoto wa kiafrika-abuse, mila au mazoea?

    Funny with purpose, well done na umenikumbusha mbali sana Kana.
  19. W

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    Kaka Dua unaonekana unapenda ubishi sana, alafu unatumia hoja za nguvu na si nguvu za hoja, angalia analysis ya kanakansungu ilivyotulia,ana data na inaonekana anakijua anachokiongelea kwa undani tofauti na wewe, yani kuendelea kujibizana nae hapa unazidi kujiembarass tu. Punguza jazba, huyo...
  20. W

    The Apprentice Africa

    Kama una info si uweke hapa?watu wanapost info kamili hapa- no wonder no one is commenting!Watu wengine bwana, kama huna cha kupost kaa kimya!!
Back
Top Bottom