Search results

  1. L

    Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

    kama wakatili niambie! mie nimekutana na ukarimu kila 'angle'
  2. L

    Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

    mbona umeenda mbali sana! limeongelewa suala la kupeana raha kwa watu ambao ni wapenzi. Jaribu kuwa unasoma between lines. Inaonekana huu ni udhaifu wako mkubwa sana. Do not jump into conlcusion kama issue hujaielewa sawasawa
  3. L

    Mniruhusu nije na series za makabila ya kitanzania!

    haiwezi kuwa kwa makabila yote, kamwe. Nna mambo mengi ya kufanya bwana, isitoshe am not an academician to spend whole time speculating on more than 120 tribes. I will be crazy!
  4. L

    Mniruhusu nije na series za makabila ya kitanzania!

    Usipost for the sake of posting, matokeo yake unaongelea jambo ambalo wenzio huko juu wameshalisema na majibu yake yameshatolewa. Tuliza akili, soma walichoongea wenzio ndiyo uje na maneno muzuri. Umenikumbusha vikao vya harusi, mtu anaongea, mwenyekiti anauliza kama kuna mwenye hoja mpya, mtu...
  5. L

    Hivi kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua Salon Magomeni Mapipa? au ndo yale yale

    Mkuu mbona hiyo kitu iko wazi tangu zamani. KUlala kwake siku tatu bongo kama rais wa amerika haikuwa bure. Na bado mengi yanakuja, ndiyo maana huwa nasema, ufisadi nchi hii ni kama mahala pake unapotengenezwa
  6. L

    Hivi kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua Salon Magomeni Mapipa? au ndo yale yale

    wapo wanaotamani Mungu angekuwa anauza hewa ya oksijeni, watu washindwe kuinunua ili wabaki peke yao nchini Tz wafaidi maisha bila bughudha ya watu masikini wanaopiga kele kila uchao.
  7. L

    Hivi kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua Salon Magomeni Mapipa? au ndo yale yale

    mbona ya kugawa neti hukuuliza. ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni...........usemi huu wa kwenye biblia unajidhihirisha katika awamu ya nne ya uongozi wa tz
  8. L

    Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

    sumu kivipi mbona ni watamu sana, na wanajua ku care isitoshe hawana 'gharama' maana unamega na kuondoka kwa style ya mbwa mwitu
Back
Top Bottom