Search results

  1. L

    Makato ya Vyama vya Wafanyakazi kifungu c

    72.-(1) Mkataba unaomlazimisha mfanyakazi kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi hauna nguvu za kisheria. (2) Chama cha wafanyakazi kinachotambuliwa na mwajiri wanaweza kufikia makubaliano ya pamoja yanayotoa duka la uwakala. (3) Mahitaji ya makubaliano ya duka la uwakala linalobana ni: (a)...
  2. L

    Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

    Nimeona tangazo la kazi za TRA. Kwa Sasa inaonekana wataajiri wenyewe bila kupita Utumishi. Je, watoto wa Mamantilie watapita? Nakumbuka enzi za Dkt. Slaa na majina ya watoto wa vigogo BOT. Yajayo yanafurahisha.
  3. L

    Serikali kuna vitu inajitakia

    Nimesikia watumishi waliotumbuliwa jiji la DSM. Lakini hebu tujiulize Afisa biashara wa halmashàuri/jiji mwenye degree salary in laki 7.1 akikatwa inabaki laki 5. Afisa huyu mmoja anakusanya zaidi ya milioni 500 kwa mwaka. Kwa hali ya kawaida mnamuweka majaribuni. Mbona TRA na taasisi nyingine...
  4. L

    Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

    Mfano: Ngazi ya degree Admission officer Examination officer Warden e.t.c Ahsante
  5. L

    Tafakari ya Muungano

    Sina mengi Ila chati hii inaonyesha jinsi muungano wetu ulivyo wa kipekee
  6. L

    Katiba inasemaje kuhusu Mafao ya Viongozi Wakubwa?

    Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani. Swali langu: Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili. Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
  7. L

    Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

    Moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali. Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji...
  8. L

    Kwanini mali za umma zinachezewa namna hii?

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la reli (TRC) alisema moja kati ya changamoto za shirika ni watu kuchukua maeneo ya shirika. Mfano: Akasema kuna eneo la reli ambapo reli ilitakiwa kupita kutoka Mwenge via Mbezi beach hadi kiwanda cha cement Wazo hill. Lakini hilo eneo sasa hivi limejaa maghorofa...
  9. L

    Adhana ikinikuta naendesha gari natakiwa nisimame?

    Moja kwa moja kwenye mada. Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana? Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa. Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui. Wekeni neno...
  10. L

    Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  11. L

    Nafasi za Zanzibar kwenye Muungano

    Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao? Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar. Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba muongozo
  12. L

    Muda wa kumkumbuka John Okello

    Mganda kiongozi wa kikosi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati anampindua Mwarabu, Hayati Karume alikuwa Tanganyika amejificha. Okello aliongoza mapinduzi na akatangaza baraza la mapinduzi kisha akamtangaza Karume kama Rais wa Zanzibar. Usiku wa Mapinduzi Karume hakuwepo Zanzibar wakati JOHN...
  13. L

    Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes. Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
  14. L

    Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Soda Tsh 600 badala ya 500 Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500 Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/= Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/= Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na...
  15. L

    Kero ya Muungano iliyotatuliwa ndani ya mwaka mmoja

    Nikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za muungano" Hii kero ndani ya mwaka mmoja imeshapatiwa suluhisho. Hii kero imepatiwa suluhisho ndani ya muda...
  16. L

    Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  17. L

    Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

    Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: 1. Kesi ya Mbowe 2. Usalama wa Lisu akirejea nchini 3. Uhuru wa vyama vya siasa 3. Katiba mpya 4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine. Wakati mwingine...
  18. L

    Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

    Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?
  19. L

    Serikali ya Tanzania sio masikini

    Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali 1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8 2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8 3. Wakurugenzi wa halmashauri V8 4. Hospital za mkoa na wilaya V8 5. Wakuu wa wilaya V8 6. Wakuu wa mikoa V8 Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
  20. L

    Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
Back
Top Bottom