Search results

  1. D

    Tabata hakuna umeme tangu asubuhi

    TANESCO Tabata hakuna umeme tokea asubuhi nini tatizo? Tuambiane basi hata kama mnakata ili tuwe tunajiandaa kuwasha koroboi na kandiri.
  2. D

    Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  3. D

    Nisaidiaeni hiki kitu

    Niko na demu mmoja hivi ,single mother, tumeanza relationship nae ila cha ajabu siku na date nae nataka kuingiza chuma ktk K yake, inasinyaa kbs, acha hyo nikarudia mara ya pili same story, ngachoka kbs, kuna aliekutana na hali km hii?
  4. D

    Kulikoni Benki leo hakuna mtandao wa malipo ya TPA!

    Nataarifiwa na vijana wangu kuwa leo Benki zote hakuna mtandao wa malipo ya TPA , kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana, tunaomba mamlaka husika fuatilieni ili tulipe tutoe mizigo ya wateja wetu.
  5. D

    Msaada wa kilimo cha soya au mbaazi

    Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui kitaalamu km hilo zao linastawi na wakati gani wa kulima, kama kuna mwenye taarifa nzuri basi tupeane...
  6. D

    Naomba kufahamishwa ukweli kuhusu kozi mpya NIT

    Habari wadau poleni na majukumu, Nasikia kuna kozi mpya ama imepewa jina lingine, zamani ni Shipping and Port Management, sasa hivi inaitwa Cargo Shipping, je kuna anaejua ukweli wa hizi taarifa?
  7. D

    Msaada: Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TBC kwa hapa mjini kati

    Naomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi? Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please. Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
  8. D

    M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

    Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
  9. D

    Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu!

    Bandari Billing section kulikoni mbona hatupati invoice tulipe tutoe mizigo yetu au KAKOKO kaondoka nayo, msitukwamishe bana, fanyeni utaratibu as quick as possible. Kwani hizi system ana control nani? mara leo TPA kesho TRA, ngachoka kabisa.
  10. D

    TRA geti namba 2 bandarini kulikoni?

    Mamlaka ya mapato tunataka kujua tatizo ni nini pale bandarini gate #2 gari za transit tangu jana hazijatoka kuna nini? Hebu muwe na huruma hawa watu ni wageni pengine hata bajeti yao haiwaruhusu kukaa siku nyingi, ondoeni hii kero hizo tracking seal kama hamko tayari bora zitoeni tuendelee...
  11. D

    Nahitaji Mbegu za pilipili hoho

    Habari wadau, Nahitaji kupata mbegu za pilipili hoho, kijani, nyekundu na njano.
  12. D

    Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

    Habari ya asubuhi wanajamii, sasa naomba vyombo vya dola viangalie hili tatizo pale Tunduma border. kumezuka kikundi cha watu wanajiita umoja wa madriver wa IT. Yaani gari zinazovuka mpaka wetu, hawa jamaa wanachukua eti ushuru wa shs 5000/ kila gari tena ni lazima, ukiwauliza wanasema ni...
Back
Top Bottom