Search results

  1. K

    Nina maumbile madogo mpaka najishangaa!

    Acha Gubu unawaza mno kuwa una..................
  2. K

    Wakristo musituvuruge Wz'bar agenda ni siasa kuhusu Muungano na sio dini mutakosa .

    kakke una Mawazo finyu hayo, Muungano wetu si katika dini, kama sababu ni muungano kachomeni ofisi za chama na ikulu ya zanzibar na siyo makanisa. Huwezi hata kufikiri kabla ya kuandika wewe. pamoja na uamusho wenu kaamkeni mukiwa misikitini na siyo katika makanisa :lock1::A S 12: nyinyi...
  3. K

    Jamaa wanajenga afya... Naona wivu jamani.

    wao wale kumbikumbi, mbunge ana njaa ya POSHO ngomsa drooooooooo!!!!!!!!!!!!!:washing:
  4. K

    Walimu wapya wa wilaya ya kinondoni mmeonyesha Mfano!

    Bado kidogo tukaze moyo tuamue kumuadabisha kwanza Spika wa Bunge Anna Semakinda, halafu mdanganyifu Mtoto wa mkulima, Pinda aliyepinda, halafu mwisho tuligeuze bakuli lote tumteme Jakaya, tuone kina Ridhiwani watakula jeuri yao:photo::alien:
  5. K

    MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

    Huyo ni muasi na namfananisha na Lusifeli, hawezi kumzidi Mungu ila hata Mungu hamuelewi. au ndugu zako ni wengi hadi wamekaba chumba cha faragha, maana ndicho alichohamia kwako, yeye hakutakiwa kuwa yaya, mpe ananchotaka, mtoto kila mwaka mpaka aombe kupumzika:A S 465::A S 465::hat::hat:
  6. K

    Live: Zitto Kabwe na Diva at Clouds FM

    Umbea tu huo, wewe ukikutana na mtu nani anakusema?? acha hizo
  7. K

    Natafuta mwanamke uk /usa

    Unataka akusaidie kuhamia huko?, acha hizo, utamaliza Bucha nyama ileile
  8. K

    Msaada wa 2000 kenyashillings

    Poa naona umeisha pata msaada husika, lakini ni kama 2000 X 17 au 18 hivi unapata hela ambayo hata DSA moja haitoshi au ni kama 1/5 ya posho ya mbunge wetu bongo
Back
Top Bottom