Search results

  1. Roy Logan

    CCM ilianza kupata Ugumu Uchaguzi wa Rais kuanzia 2010, 2015 hali ikawa mbaya, 2020 Uchaguzi ukawa mgumu Sana

    Kuhusu Demokrasia kukua ? HAPANA.........kinachotokea ni CCM kulazimishwa na kizazi kipya kwamba hatuwataki, CCM wanajua na kuliona hili na ndio maana KATIBA MPYA hawataki kuisikia maana wanajua ni janga kwao.......
  2. Roy Logan

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Hii vita sio ya kuivamia kwa pupa, chawa watulie, huu wakati umekorogeka Sana mdomo kidogo Tu unainua na yasiyokuwepo.
  3. Roy Logan

    Hotuba ya Rais mpya kijana wa Senegal

    Itakuwa poa Sana tukiamua na kuamka kama waafrika, japo safari ni ndefu kutokana na baadhi ya viongozi walivyovurunda huko nyuma, hasa kwenye kutegemea msaada kwenye bajeti zetu na kukubali mikopo inayoumiza Taifa, Ila ni dhahiri manyanyaso yametuchosha, ni wakati wa KUTENDA sasa, tutumie...
  4. Roy Logan

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Kweli kabisa Chief, hata zoezi lilipoishia sijui....
  5. Roy Logan

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Hivi kuna siku huyu Waziri keshawahi simama sehemu akaelezea Mipango ya Tanzania kwenda na Kasi ya teknolojia, akatoa nondo namna tumepiga hatua na mauvumbuzi ya uhakika hivi, maana simuelewi, yeye kila siku ni story tu ambazo sidhani kama zinatusaidia.
  6. Roy Logan

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Ila Nape! Dah.........ngoja niishie hapa.
  7. Roy Logan

    Dkt Hamis Kigwangala amesema anatamani uteuzi mpaka anakosa Usingizi

    Katika waliopo kwenye teuzi anadhani ni Nani hafai tumwombe Mh. Rais amtengeu ili ateuliwe yeye?
  8. Roy Logan

    Waziri Mchengerwa: Nilipewa bajeti ya dola laki 5 ili kununua basi moja la mwendokasi

    Sasa huyu Waziri anataka tumpigie makofi au? hao ni matapeli tunataka kusikia wapo kwenye Mikono ya Sheria kwa udanganyifu, sio blah blah.......Kesho watakutana na Kiongozi mwingine laini watapiga mshindo kama kawaida.
  9. Roy Logan

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Boss tunaongele mambo ya Nchi Mzee.....ishu ya mke inakujaje hapa, Yani uwe rais WA Nchi uone kabisa huna pa kutokea uite mkeo, unaniangusha Boss, ukishakuwa na madaraka makubwa kama ya Urais inakuwa Nchi kwanza, mambo ya familia badae.
  10. Roy Logan

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Angetubu na kufanya mengine Chief, nadhani vyote vingewezekana.
  11. Roy Logan

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Magufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
  12. Roy Logan

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    CCM kuitimba Katiba ni kawaida yao, mara ngapi wanalaumiwa kwa kwenda kinyume na Katiba, ukipata jibu hutashangaa hata hicho walichotaka kufanya kwa Mama Samia, hiyo ndio CCM HALISI.
  13. Roy Logan

    Dkt. Doto Biteko: Rais Samia anaenzi maono ya Hayati Magufuli kwa vitendo ikiwemo kutekeleza Miradi mikubwa

    Aliyeenda, kaenda, wakiwa kwenye MIC wanajifanya wanamuenzi, wakiwa pembeni wanamsimanga, hii dunia ukitoka umetoka, wanaokuja nyuma wanakuja na Yao, FULLSTOP.
  14. Roy Logan

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Watu wananunua magari mpaka nambe E zinakaribia kujaa halafu unasema hii Inji ni maskini?....…..........alisikika mwehu mmoja akiuliza............na bado tutaendelea kuwa maskini na maskini kama tutaendelea kuongozwa na watu wale wale.
  15. Roy Logan

    Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

    We nawe umetokea wapi ghafla na akili kama hizi, maandiko mengine msiwe mnajibu maana ni kujidhalilisha, hili sio bandiko la kujibu kwa akili za kisoda, jaribu kufikiria wadogo zetu wanaotembea matako wazi kuwa uchakavu wa uniform, halafu mtazame huyo mama unayemtetea anahitaji mafao ya nini...
  16. Roy Logan

    Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    😂😂😂😂 Naibu Waziri.....usisahau Chief.
  17. Roy Logan

    Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    TAWIRE.......viongozi wetu wamekuwa kama waganga wa kienyeji, wamebaki kupiga ramli linapokuja suala la umeme, hakuna anayejua shida ni nini na itaisha lini......hii Nchi🙌🙌
  18. Roy Logan

    Ally Hapi: Hakika Wanafiki watakuwa katika tabaka la chini kabisa Kwenye Moto wa Jehanam Qur'an an nisaa(04):145

    Hii kifo ya EL inaibua mengi, inaonekana uamuzi WA kumtosa 2015 haukuwa uamuzi rahisi na uliokubalika na wengi, ni kama kuna mengi yanakuja ya kushtua.
  19. Roy Logan

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Mzee wa Mipango, anamsaidia Madam Presidaa kujipanga na uchaguzi ujao.
Back
Top Bottom