Search results

  1. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Mkuu kama uliwahi soma pahali either kwenye historia au vitabu vya dini na ukasikia Neno Miungu basi elewa hao miungu walikua miungu kweli kama unaijua miungu ya dini za kale na za kipagani kama mungu Ra wa Wamisri Krishna wa wahindi Quetzalcoatl wa wamaya Enlil na Enki wa Wababylon nk nk...
  2. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Mkuu kuna uzi wangu nimekutag nenda kaupitie kidogo upate angalau pa kuanzia
  3. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Ushahidi siwezi kupa hapa kama unautaka itakugharimu Muda na kipato kupata maana kuna kwenda site kabisa kushuhudia ili unavyopewa maelezo ujilidhishe ila kama unautaka miongozo nitakupa hints uanze kufuatilia documentaries mbali mbali za watafiti na wanasayansi pia vitabu mbali mbali na...
  4. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Tutakesha hapa Mama Mwana kuzielezea, Hii ni zaidi ya Elimu yaani kama ulitumikia shule kujifunza hapa ni kama utaanza na Moja kusoma a e i o u kujua Haya mambo Hahaha anza na lolote ku google upate mwongozo!
  5. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Dunia iliwahi kaliwa na Race ya Annunak ambao walitoka Sayari Ya Nibiru kwa malaki ya miaka hao ndio waliochimba dhahabu kwa 90% Na iliyobaki ndio hii tuliyobaki nayo leo na wakaipeleka kwao na hao ndio viumbe walioitwa Miungu katika Dunia ya kale, Kuna mambo makubwa yatakayo kushangaza...
  6. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Khemet,MesoAmerca,Indus Valley, Babylon, Atlantis civilization
  7. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Naona kwako hakuna ajabu ok ngoja sisi tunaoshangaa tuendelee kushangaa,
  8. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Duu aisee mkuu huo ni ustaraabu wa kale mkuu, Kiufupi hii Dunia iliwahi pitia maendeleo makubwa sana katika Science na Teknolojia mara elfu kuliko tulivyo leo, Ushahidi wa kimazingira unaonesha hapo kale Dunia ilipata kua na ustaraabu unaohusishwa na viumbe wageni yaani Alliens, Either ni...
  9. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Kingine hiyo michoro ni Symbols na signals kama zilivyo Nazca lines kule Peru au zile Baalbek stone zinazoonesha Spaceship ground!
  10. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Labda hujajipa muda wa kufuatilia na kudadisi kuhusu accient civilization, Leo hatuna tech ya kuwafikia hao hata robo ndio safari inaanza tena kwa ku copy hao hao mfano hata huu umeme tunaotumia wa AC Nicola Tesla alicalculate formula alizopata kwenye tablet za Khemet tena anaenda mbali na...
  11. Dumas the terrible

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Nitaendeleza ule mkuu kuna mwingine kule intelligence upo juu bado wa moto!
  12. Dumas the terrible

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Tusitishane! (In Jiwe voices Uzi gani tena maana jana nimeachia uzi Mpya wa namna ile ile kimtindo!
  13. Dumas the terrible

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Tusitishane! (In Jiwe voices)
  14. Dumas the terrible

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Binadamu anaitumia bahari kwa 2.0,% tu kuna sehemu hata hakuna aliyegusa maana hata kupeleka vyombo huko ni very risk just imagine Mariana trench kunavyotisha vile fa masikhara nini?
Back
Top Bottom