Search results

  1. habi alex

    Nilitaka awe wangu, lakini niliogopa kumwambia

    So sorry for both of you, wanawake huwa hawaji direct ulipaswa ujiongeze kidogo. Ni fundisho kwa wote lakini zaidi kwa mwanaume
  2. habi alex

    Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

    Well said. Watagegedwa sana aise
  3. habi alex

    Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Sasa kama umekubali kukaa kwake na kuzaa naye unasubiri nini? Mke mwema si sura
  4. habi alex

    Wanaume: Acheni kutoa lifti kwa wadada

    Ni kweli ni rahisi sana kumpata mchepuko kupitia lift
  5. habi alex

    Hakuna maendeleo bila uchungu

    Napenda kutoa ushauri tu kuwa usitegemee mafanikio bila kujituma katika kazi. Wengi wetu tunapenda mafanikio kupata huku tunastarehe. Mafanikio hayaji overnight, ni mchakato ulio na vigingi na machungu mengi. Usimuone mtu katika 50s years akiwa na nyumba, magari, mashamba nk, jua kasota sana...
  6. habi alex

    Nastaafu kuuza wake za watu Pt2 (Ijue hii biashara nje ndani)

    We kidada unatisha, for sure you're a lovely lady with multi talents. Bravo lala1
  7. habi alex

    Maalimu Seif ni mvumilivu sana

    Hivi kuna mtu kasema eti ni mshelisheli sio mtanzania, kuna ukweli hapo? Avumilie tu arudie uchaguzi
  8. habi alex

    Magesa Mulongo: Dr. Faisal ni 'Msomali' anayeishi Tanzania kwa uraia wa kutatanisha

    Kama unausingizi kojoa ukalale mtoa mada
  9. habi alex

    Mzee Baraka Shamte (Mugabe wa Zanzibar) azua kizazaa kwenye siasa za Zanzibari (Video)

    Mzee Baraka Shamte jembe Sana. Tatizo mijitu mizima haimwelewi kwa kuwa imejaa kasumba ya utwana. Ndio maana nalichukia li maalim seif, karume upara, jussa na lisheikh farid
  10. habi alex

    Hapa Arusha wako wapi watu ambao walikuwa au wanaompenda Lowassa?

    Muda Allan nadhani Wewe ndio kiroboto mbona huna staha na uvumilivu wa kujenga hoja?
  11. habi alex

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kitabu kiko biased sana kuna vitabu vingi Vya rejea kukupa ukweli. Wote wanaojifanya wanamapinduzi wanapepeta madomo tu. Mchango wa okelo ni mkubwa
  12. habi alex

    Papa Francis (VATICAN), ana ushawishi gani Zanzibar?

    Papa hana la kufanya hapo wasimwingize kwenye siasa wamwache na mambo ya rohoni. Kwanza si ndio walimuua padre wake hao na kumwagia tindikali mwingine. Awapotezee tu hao.
  13. habi alex

    Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa jina la barabara jijini Dar (kuanzia Bamaga - Urafiki)

    Mungu amrehemu mwana mapinduzi huyu wa Tanzania
  14. habi alex

    Unafiki wa siasa za Zanzibar

    Lakini ukiangalia lina ukweli fulani au vipi?
  15. habi alex

    Tanzanian president Magufuli trampling on tenets corporate governance in his overzealous populist

    Hili lililopost Ni product ya mafisadi. Lina chuki binafsi baada ya mirija yao kukatwa.
  16. habi alex

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Ngoja aje jembe amg'oe ashike adabu
  17. habi alex

    Magufuli kuwa makini na hawa watu...

    Wewe umesema
Back
Top Bottom