Search results

  1. K

    Historia ya maisha yangu

    Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli. Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa...
  2. K

    Mkasa wa mapenzi: Mwendelezo

    Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika. Siku nafika jamaa (mume wetu)alikuwa nyumbani kwa bi mkubwa,Ila alijua Niko njiani na hata nilipofika nilimtaarifu...
  3. K

    Njia panda ya mapenzi

    Habari za mchana wadau. Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua. Nikapata Safari mkoa flan,tukawa tunawasiliana kwenye simu almost every day and night.Sasa mhusika akawa hafuti zile...
Back
Top Bottom