Search results

  1. NCCR Mageuzi

    NCCR-Mageuzi-"Hatupo tayari kusikiliza kauli ya msajili wa vyama"

    Sisi NCCR-Mageuzi tumepokea kwa mshangao Mkubwa sana kauli ya Msajili wa vyama vya Siasa, kuhusu kusitisha shughuli za vyama vya Siasa hadi pale anachokiita kikao cha meza ya pamoja kati ya vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na yeye Msajili wa vyama vya Siasa kuitishwa, kikao ambacho hakijulikani...
  2. NCCR Mageuzi

    TANZIA Makamu Mwenyekiti mstaafu NCCR Mageuzi Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya Jumamosi Januari 30, 2021 Morogoro. Marehemu alikuwa mmojawapo wa wanachama waanzilishi wa...
  3. NCCR Mageuzi

    NCCR Mageuzi: Tunaunga mkono waraka wa TEC kuhusu Corona

    Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19). NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua...
  4. NCCR Mageuzi

    NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

    Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020 Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama. Kwa mujibu wa katiba...
  5. NCCR Mageuzi

    James Mbatia: Yanayoendelea Tanzania yanatia wasiwasi mkubwa

    TAARIFA KWA UMMA Leo tarehe 12.11.2020 siku ya Alhamisi Majira ya saa 6 za Mchana katika ofisini za Makao makuu ya NCCR- Mageuzi M/Kiti wa chama Ndugu James Francis Mbatia atazungumza na Watanzania kupitia Vyombo vya Habari. Imetolewa na: Edward Simbeye Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya...
  6. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Tume iwaapishe mawakala wa vyama vyote bila upendeleo

    Na, Sam Ruhuza, Leo Mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi Mkuu 28/10/2020 wanatakiwa kuapishwa. Sheria inasema wazi wataapishwa na msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri AU msimamizi msaidizi wa Kata ambaye ni Mtendaji wa Kata. Malalamiko yameanza kuwa mengi...
  7. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Anthony Komu aruhusiwa kuendelea na mikutano ya kampeni

    BREAKING NEWS: Kamati ya maadili ya Taifa imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 za wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Mbatia pamoja na mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Anthony Komu na wameruhusiwa kuendelea na kampeni kama ilivyo kawaida. Ikumbukwe kuwa Oktoba 17...
  8. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Adhabu ya mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia yatupiliwa mbali

    BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
  9. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 James Mbatia aomba kura nyumba kwa nyumba jimbo la Vunjo

    Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha...
  10. NCCR Mageuzi

    NCCR-Mageuzi kuboresha miundo mbinu mshuleni

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimeendelea na ziara zake za kampeni kwenye mikoa mbalimbali nchini Tanzania, lengo likiwa ni kuomba kura kwa wananchi ili kuweza kuunda serikali kwa ajili ya kuwatumikia wananchi katika kipindi cha miaka 5 ijayo. Akiwa Wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Mgombea Urais wa...
  11. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Joyce Sokombi: Nitaanzisha mfuko wa kusaidia makundi maalum

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha NCCR Mageuzi ndugu Joyce Bitta Sokombi amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ataanzisha mfuko maalumu kwa ajili ya kusaidia makundi maalumu katika kata za Manispaa ya Musoma ikiwemo wazee na...
  12. NCCR Mageuzi

    YEREMIA MAGANJA: Sisi ni nchi huru na tutalinda Uhuru wetu wenyewe

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini...
  13. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Yeremia Maganja: Tanzania ni nchi yenye maziwa na asali

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
  14. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia NCCR Mageuzi, Yeremia Maganja kuifunika Kigoma mjini leo

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020. Rais Maganja atakua sambamba na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha ambaye anatajwa...
  15. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi imemsimamisha uanachama kiongozi Jimbo la Kawe

    BREAKING NEWS: Aliyekuwa Katibu wa NCCR-Mageuzi Jimbo la Kawe na mgombea wa Udiwani kata ya Mbweni ndugu Juma Anthony Ndaigwa amesimamishwa uanachama na kuvuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama kuanzia sasa.
  16. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi kuleta mfumo mpya wa elimu

    Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10. Ajenda hizi ni pamoja na: 1. Muafaka wa Kitaifa 2. Katiba Mpya 3. Elimu 4. Afya na Ustawi wa Jamii 5. Mazingira na Makazi 6. Vyombo vya habari na Asasi zisizo...
  17. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 James Mbatia aitikisa Vunjo, maelfu ya wanachama wamiminika kumlaki

    Septemba 19, 2020 Viwanja vya Polisi Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro viliwaka moto huku ikishuhudiwa maelfu ya wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi na wakaazi wa jimbo la Vunjo kutoka kila kona ya Moshi wakimiminika kwenye viwanja hivyo kumlaki na kumsindikiza mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mgombea...
  18. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi yazindua Ilani ya chama "ILANI YA MUAFAKA WA KITAIFA"

    Leo Septemba 05, 2020 chama cha NCCR-Mageuzi imezindua Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, halfa iliyofanyika kwenye uzinduzi wa Kampeni za chama. Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi ndugu Elizabeth Mhagama amesema Ilani iliyozinduliwa imepewa jina kuwa katiba ya "Muafaka wa Kitaifa"
  19. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Zakheim Mbagala: Yaliyojiri kwenye ufunguzi wa kampeni za NCCR-Mageuzi

    Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi kufanya uzinduzi wa kampeni Septemba 5, 2020

    Hayawi hayawi, sasa yamekuwa, ni rasmi sasa chama cha NCCR-Mageuzi kimejipanga kufanya uzinduzi mkubwa wa kampeni zake za uchaguzi Septemba 05, 2020 kwenye viwanja vya Zhakeim, Mbagala Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Uenezi na Mahusiano ya Umma ndugu Edward Julius Simbeye amesema...
Back
Top Bottom