Search results

  1. Mo pal-mo

    Miaka inazidi kukatika lakini bado mbele giza, natafuta marafiki kupeana connection

    Natumaini mu buheri wa afya wanajukwaa! Baada ya kuhitimu chuo miaka michache iliyopita, nilikuja Kahama mjini mkoa wa Shinyanga kupambana. Miaka inazidi kukatika huu mwaka wa pili sasa lakini bado mbele naona giza. Nimetafakari nikagundua kuwa, bado sijatengeneza marafiki ambao huenda kupitia...
  2. Mo pal-mo

    Msaada kuhusu TV yangu

    Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya kubofya power button kwenye remote na kuruhusu tv kuwaka Sasa imegoma. Nikibofya power button bado tv...
  3. Mo pal-mo

    Msaada simu yangu inaniandikia hivi "Can not generate thumbnails"

    habari wana jf, Natumaini mu wazima!! nilifanya factory reset kwenye simu yangu, lakini kabla ya kufanya hivyo nilihamisha mafaili mbalimbali kutoka internal storage na kuyaweka kwenye SD card. Kweli nikafanikiwa lakin baada ya kufanya factory rest , miziki inacheza vizuri tuu, ila sema...
  4. Mo pal-mo

    Kwa mwenye uelewa anisaidie kuhusu Pc yangu ya Dell

    Habari wana jamvi..... Nina Pc yangu aina ya dell ilipatwa na tatizo gafla ambalo imekuwa changamoto kutatuka. Siku moja niliiwasha Pc yangu lakin cha kushangaza ukaja mwanga mweupe tuu. Nikazima nikawasha tena ikawa hivyohivyo kama awali, nikaanza kazi ya zima nikuwashe hola, lakini karibia...
  5. Mo pal-mo

    Kwa aliewahi kuiskia stori ya Ondiek John, Mwenye nguvu kama Samson

    Mimi natokea mkoa wa mara (rorya) nilkuwa naskia sana habari za kuwahi kuwepo Jamaa mwenye nguvu sana kama samsoni (biblia). Nikajaribu kufuatlia zaidi kisa chake kwa wazee tofauti tofauti lakini story ikawa ndo ile ile inafanana!! Inasemekana jamaa alikuwa miraba minne, mkono wake tuu kama...
Back
Top Bottom