Search results

  1. M

    Mini Pajero for sale 4.8Mil

    Sold, dont bother to call
  2. M

    Mini Pajero for sale 4.8Mil

    Sorry wakuu picha zinakataa kuupload ila unaweza kuziona kupitia Pajero mini for sale | Dar es Salaam | Kupatana. Asanteni
  3. M

    Mini Pajero for sale 4.8Mil

    Gari ipo katika hali nzuri,haidaiwi chochote, cc650 AC Imetembea Km 181000 bei 4.8Mil serious buyer call 0714792727/0782345695 Server haiko poa saiz ukihitaji just whatsapp ntakutumia picha
  4. M

    Business ideas (Bure)

    You are the top notch, kudos!!
  5. M

    Kwenda China upatikanaji wa Visa ni tatizo

    Sio miezi mitatu kaka atleast wiki tatu kama una vigezo na haraka kaombee Zanzibar,mi nimechukulia huko last week
  6. M

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Wakuu naomba nieleweshwe kwa hili kidogo akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka alimtaja mtuhumiwa kwa jina la Pacificus Cleophase Simon (23) lakini kwenye ripoti ya Nchimbi imemtaja kwa jina la pasifious, hivi ni mtu yule...
  7. M

    MZEE Mustafa Jaffer Sabodo achangia tena M4C (CHADEMA) na ahadi zingine za miradi

    kumbe huyu nae ana ugonjwa wa kutokufikiri, ndo nini sasa?leo nimekuvua heshima zote
  8. M

    Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    Mkuu mbezibeach 2 Hapo napo pana shida tena ile wizara haipo MINISTERI na wengi wao hujua hivyo na nakumbuka niliuliza mpaka wanafunzi wa school of finance and bness ya Kigali wahakujua ilipo, na kuhusu rushwa kwa kweli wamejitahidi lazima na hili utaliuona ukianzia mpakani ila bado ipo ndani ya...
  9. M

    Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    Mkuu sijawahi fungamana na upande wowote hasa kwenye siasa za ndani nnachokwambi nimeshuhusia na nimeishi nacho kwa muda acha utoto, nidanganye uma kwa manufaa ya nani, na hayo ni machache nitarudina mengi next time.
  10. M

    Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    Ukweli wa machache nnayo yajua mimi ni huu, ELIMU: Ule mradi wa laptop moja kwa kila mwanafunzi umefeli kwa sababu ya Rushwa na ilikuwa ni ndoto kutimia kwani zaidi ya nusu ya shule zao hazina umeme, walikuwa wana system kama ya kwetu kutoa mikopo lakini kuanzia mwaka jana serikali...
  11. M

    Rais Kagame ni mfano wa kiongozi kuigwa Africa

    Ukweli wa machache nnayo yajua mimi ni huu, ELIMU;ule mradi wa laptop moja kwa kila mwanafunzi umefeli kwa sababu ya Rushwa na ilikuwa ni ndoto kutimia kwani zaidi ya nusu ya shule zao hazina umeme, walikuwa wana system kama ya kwetu kutoa mikopo lakini kuanzia mwaka jana serikali imejitoa...
  12. M

    Tafakuri kuhusu MUUNDO, UJENZI na MWELEKEO wa Taifa letu (Part II)

    Double likes Shayu, nimependa ujengaji wako wa hoja na mafundisho/mada hizi ndo tunazozitaka kwa wingi humu, najiskia faraja kujifunza kitu baada ya kusoma mawazo ya mtu mwingine.
  13. M

    Sababu za Lazaro Nyalandu na Mary Nagu kujuzulu hizi hapa

    tinker taylor hapo umenena, mimi nimefungua kiwanda kanda ya ziwa ila usumbufu nilioupata simshauri yeyote afanye biashara Tz, imagine ni mwendo wa mizinga na delays kuanzia mpakani, TRA,TANESCO, TIC,Polisi, city council na kwingine kote unakopita,nimesumbuka toka August 2011 mpaka jan2012 na...
  14. M

    Pinda ana uwezo wa kumsimamisha kazi Blandina Nyoni lakini Jairo hapana kweli?

    hamna kitu pale hastahili hata kuamkiwa kwa sasa, amegeuka kuwa pipa la takataka zote za serllllllikali hajui kuw wenzie wanamtegea ili ajiharibie kabla ya 1215.
  15. M

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Asante mkuu kwa kulileta hili humu jamvini personally nimeshawahi kufanya kazi na huyu jamaa nini afanye kwa nyimbo lkwenye suala la elimu na IT, jamani huyu jamaa ni kilaza sijapata ona, hajui hata windows unaweza ukainstall hapa tz coz wakati anaandaa bajeti alikuwa anaweka software costs...
  16. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    kaka utapita lini tena bato tunasubiri part 3
Back
Top Bottom