Search results

  1. S

    Hii Kali Kabisa!!!!

    Hahahahaha
  2. S

    Chupi

    huwezi kijuwa kitu hadi ukijaribu nenda kafanye majaribio utapata jibu
  3. S

    Mama mkwee..!

    Jamaa kakosea baada ya ku2ma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema: MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZ MKE WANGU HAWEZ KUJUA: wakat anatafakar atafanyaje likaja jibu kutoka kwa mama mkwe: NAMI NAKUPENDA UNGECHELEWA NINGE KWAMBIA...
  4. S

    Utabiri wangu

    Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako: 1.Umeshika simu yako ya mkononi. 2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba. 3.Wewe ni binadamu hai kabisa. 4.Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo. 5.Nakuona umejaribu kusema neno PIPI. 7.Unajicheka mwenyewe...
  5. S

    Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    We ungefanyaje kwa majibu yao?
  6. S

    Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Doh usinipe msala wa mauwaji wangu
  7. S

    Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama majambazi...
  8. S

    majanga

    Nimeokoa maisha ya mtu leo huwezi amini........."Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajsikiaje nikimpa Sh. 30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha......Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.."HUONI KAMA NIMEOKOA UHAI WAKE ?
  9. S

    huyu ndio great thinker

    JAMAA ALIKUWA ANAMCHUJNGULIA HAUSGAL WAKE KUPITIA 2NDU LA FUNGUO, AMEINAMA KWA KUSHIKA MAGOTI, MARA MKEWE AKAMWONA NA KWA UKALI AKAMUULIZA UNAFANZA NINI HAPO? BWANA AKAENDA JUU NA KUSEMA SAMIALLAHU LIMAN HAMIDA! MKE AKASEMA HA, KUMBE UNASWALI! JE HUYU JAMAA NAE ATAKUWA GREAT THINKER?:A S-coffee:
  10. S

    wezi

    tumeshaizowea
  11. S

    Nyooo

    hahahaha
  12. S

    'fesibuku iko hivi'

    hahahahahahaha yani umetisha kweli hayo mambo f.b mengi 2
  13. S

    Imekula KWENU

    hahahahaha
  14. S

    Endeleza yako hapo

    DIRECT TRANSLATION FROM SWAHILI TO ENGLISH. 1.Wacha mchezo - Leave sports. 2.Mimi sio mtu hivi hivi - Am not a person like this like this. 3.Sikumoja nitakutembelea - One day I will walk on you. 4.Yeye ni mtu maarufu - He is a smelly person. 5.Nataka kukujulia hali - I want...
  15. S

    Eti nyani wake ameota manyoya.

    Kaka umetisha
  16. S

    hot za weekend

    Oya hii ndio imeshinda alie tunga anitafte nimpe zawadi
  17. S

    kama we mpenzi wa man united funguwb hapa

    https://www.facebook.com/title20 promote the page for all manutd fans....:) please one love BEL20VE
  18. S

    Baba kilaza

    kaka upo juu kama me ni baba ningetowa elf 50,000
Back
Top Bottom