Search results

  1. M

    Je yu wapi Msanii na Mrembo RAH P?

    ni kweli kabisa aliolewa na mzee fulani mzungu na wakawa wanaishi marekani kama miaka mitatu iliyopita alikuja mwanza o nyakato parokiani akiwa na huyo babu na wakajitambulisha kanisani kwamba wameoana, baba yake alikuwa mwenyekiti wa parokia na pia aishamcukua mdogo wake kwenda nae huko huyo...
  2. M

    Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

    Huyu nae cku c nyingi ataanza kufanya show za kulipwa pesa ya sawa na cm ya nokia tochi ukifika muda huo ntanenepa mana hana akili hata kidogo
  3. M

    Msanii wa bongo fleva anatafutwa kwa kuiba simu gesti

    me nikisikiaga ishu ya hivi huwa nafurahi sana mana najua c muda mrefu wasanii wengine nao wanaojifanya kuwa wapo juu kwa kufuja vijisent wanavyopata watakuwa hivi c muda mrefu, NICHEKI HADI SIMU YA NOKIA TOCHI DAAAAAHHH HII NOMA
  4. M

    maskini lulu

    huyo docta wa kugushi anazidi tu kuchangany mambo, kwa maelezo ya seth aliitwa wakti kanumba kaanguka tayari na kwa maelezo yake alimkuta ameshakufa sasa ilikuwaje akajua kuwa l alipigwa, me naona huyo dokta apuuzwe coz anatafuta nae umaarufu kwa kupitia tukio hilo kama atahitajika kwa ajili ya...
  5. M

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    mambo mengine bwana kuwa uyaone sasa alitaka serikali ndo wamuwekee hao walinzi au? umaarufu wa bila pesa ndo huo mwisho wa cku wanaaibika. kama mbunge haoni matatizo yoyote katka jimb lake y haongee ujinga?
  6. M

    Milioni 70/- zatumika kumzika Kanumba

    me wala sioni cha kushangaza hapo mana shopping ya wema tu dubai alitumia hiyohiyo amount, pili tanzania ni nchi maskin nadhan wangeweza kuwanunulia wamama magodoro katik hospial mbalimbali angalau wajifungulie hapo kuliko chini.................................maoni yangu tu.
  7. M

    Mtoto wa Dimond

    haya mambo bwana watu wanapata tabu kupata ujauzito wakiwa na waume zao lakini wanapotembea na watu maarufu tu wanashika dah wasichan wakati mwingine tunatia aibu unakutana na mtu hata bila kinga na waka contact nae unazijua na ndo umekutana nae inawezekana baada ta show ndo aliofa kumpa diamond...
  8. M

    Nimewaza sana tena sana! Nikatamani haya mawazo yangu yatimie!! Kwanini isiwe?

    hata km unamchukia Mwakyembe huu unyama wanaomfanyia haukubariki kabisaaa, ipo cku atafanyiwa ndg ama rafk yako cdhan km utakuwa happy, 2najenga tz gn?? Yaan Tz tumefkia hatua hii?? JK nchi imekushinda!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. M

    Chadema isisimamishe mgombea Arumeru

    Huyu jamaa atakuwa amelala, plz jaman tumsubiri aamke... mawazo ya kimagambamagamba peleka kwa magamba wenzio
  10. M

    Dr. Slaa, mbowe mpeni baraka kamanda joshua nassari agombee arumeru

    Nassari ni kijana mpambanaji, asiyekata tamaa na hata ccm arumeru wanamhanya, na hakika atakuwa mshindani wa kweli, ni miongoni mwa vijana wachache tishio waliopikwa na CDM, na kwa asili ya watu wa Arumeru ni rahisi sn kumchagua mzawa kuliko mgeni. Ninavyomfahamu Joshua: Ni mzawa wa Arumeru. Ni...
  11. M

    Chadema nao mafisadi, wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu Uzini ~ Jussa

    MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA, JUSA hana jipya wala analolijua, ni mbabaishaji tu aliyeishiwa kisiasa, CUF yao inawafia na mawazo yao duni, CUF wanaizika wantuletea porojo, kwa kauli yake hiyo inadhihirisha namna walivo ccm B, inakuja hiyo CDM kuwashika zenj na mtachonga sn akna Jusa
  12. M

    Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

    jamani i wish kama huyu wa kwetu angekuwa anapitapita humu aone jins wananchi wake wanavomuombea kifo kama ana akili ajiondoe tu kwa amani kabla ya njia zingine au ajafikia hatua ya kufa halaf watu wake wafanye sherehe jamani hurumaaaaaaaaaaaaaaa
  13. M

    Hupi muda wa kuachama na mke au mme wako kisheria

    mimi ni mwanasheria nataka nitolee ufafanuzi suala hili, hakuna muda maalum wakuachana kusheria ila kuaa mbali kwa muda wa miaka 3 bila kuwa under the same roof then a party to the marriage can use that as one among the grounds for divorce na ni lazima iwe kwa miaka 3 mfululizo. Pia kuna other...
  14. M

    Wapi Nora na Sinta?

    Wamefulia tu hawana lolote unachezea usupastaa wa bongoland ambao hauna mbel wala nyuma wala pesa achilia mbali mali? Wanaonufaika ni akina shigongo kwa kuwaandika na kuuza magazeti c wasanii
  15. M

    Agnes: Natafuta dawa ya kupunguza makalio

    Ana amatako gan ya ajabu watu wana inye za maana original na zenye mvuto wa kweli na wala hawatongozwi maana wanajiheshimu ss yy kwa sbb anauza naona ndo maan anajarib kujitangaza so wapenda inye za kichina kitu hiyo ingawa mjiandae maana hamtapata joto kama kutoka inye original...
  16. M

    Shilole: Bila pombe nakuwa goigoi faragha

    Huyo nae c cku nyingi ataanza kutumia na unga mana pombe itafikia muda haitamsaidia so atahitaji kitu chenye nguvu zaid ajitahid zaid
  17. M

    tunda man anaimba au analia?

    Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu
  18. M

    ‘Kufuli’ la Kajala lazua gumzo

    Waigizaji wa bongo bwana akili zao zimejaa ushirikina tu kuwa ndio njia pekee ya mafanikio na c kitu kingine dah ndo mana maendeleo sifuri
  19. M

    Lulu amsahau mwanaume wake wa kwanza

    Kajinga tu kale katoto halafu ni kauni kanajifanya akamjui mwanaume wakati hata miguu imepindishwa na wanaume kwa sbb ya kuanza mambo hayo katika umri mdogo akawadanganye wajinga wenzie,
  20. M

    Mmoja wa Wagombea Urais 2015 ahusishwa na Mgomo wa Madaktari?

    Ingawa el c chaguo langu ila namtetea ktk hili maan amadokta ni watu wasomi na wanajua wanachotaka na km wangekuwa wametumiwa wasingekuwa na madai ya msingi km ambayo wanayo ss hivi, tukubaliane tu ni kwa sbb ya uongozi mbovu wa rais mtalii tuliyenaye ndo unatufikisha hapa na c mtu wala chama...
Back
Top Bottom