Search results

  1. P

    Nauza shamba kibaha visiga

    Check misugusugu kipo kwa bei ya chini,.0714934986
  2. P

    Msaada

    Wadau naomba anaefahamu juu ya importer yeyote wa karatasi Rim Papers ikiwezekana na Karamu anisaidie kunijulisha.
  3. P

    Msaada

    Wadau naomba mtu anaefahamu juu ya importer yeyote wa Karatasi Rim Papers anisaidiee.
  4. P

    Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

    Kama unataka kutafuta pesa usianze kuogopa mambo ya wakuu kutaka pesa kwanza. Hii Tanzania wanakuja wahindi, waarabu, wazungu hawajui hata Kiswahili, wanaelewana na hao wakubwa we unashindwa nini kuelewana nao uanzishe hiyo biashara yako??? Da production ya Toothpicks mtaji mkubwa kidogo, kwaiyo...
  5. P

    Makaa ya mawe

    Mkuu kabla haujaanza kuyachimba jitahidi ujue kwanza QUALITY ya mkaa wenyewe! Kuna wanunuzi wengi wapo, na kuna watu wengi wanataka ku'invest huko! Kiushauri ilo eneo ni lako unalotaka kuchimba????
  6. P

    Nahitaj mume!

    Specify kila kitu mdada! Mimi natafuta mke wa pili, nna mke na watoto wawili,..., upo tayari twende kwa shehe Mwinyi tukakamilishe mambo??? Ila utapata raha zote unazozihitaji!
  7. P

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Kuna mambo mengi yanachanganya kwenye hii habari ya bwana gavana! Lakini kuna watu wangapi wamekufa Tz hii na watu hawana muda wa kukaa na kuwadiscuss au kua na mashaka kua hawajafa?? Kwanini huyu bwana wapo wengi wanaoamini bado yupo?? Naamini maswali machache ambayo hata mtoto mdogo anaweza...
  8. P

    Naomba msaada jamani....

    Bei maelewano maana yake nini...??? Akupe bei walau mtu aamue kuja akiwa anajua mwanzo, mambo ya kuja alafu unakuta kinauzwa 200M so inshu! Mwambie akupe na bei yake, alafu makubaliano yatafuata, au bei anaruhusiwa kupanga mnunuaji???? Haya mwambie achukue 5M!!!
  9. P

    Msaada kuhusu karate teacher/training center

    Unajiandaa kulinda kura 2014 kwenye chaguzi za mitaa???? Njoo ntakupa training, ila inabidi ujifunze kwanza kichina alafu unyoe kipala shaoolin kwenda mbele!
  10. P

    Ndoani

    Dhamani ilikuaje kwani mkuu???
  11. P

    Inaashiria nini kumuota x girlfriend mara kwa mara.

    Acha kuchelewa wewe! We mtafute, kuandika fb yuko single siyo lazima iwe kweli!!! Lakini, wakati mnaachana kwa mara ya kwanza nani aliyekua chanzo cha matatizo...???? Kama alikua yeye usimtafute, ila kama wewe ndo ilikua sababu mtafute omba msamaha, ila kwakua unaogopa yawezekana yeye ndiye...
  12. P

    Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

    Mbona huyo demu namfahamu demu wa mshikaji wangu! Tafuta mwingine bhana, kwani akifa hautooa au hautokua na mwingine>>>??? Tatizo utatumia muda mwingi alafu unaweza usipate, akishakuchukulia bro..h, kubadilisha ipo kazi! Kama hakutaki muite, mwambie kwanini anang'ang'ania kukuita wewe bro...
  13. P

    Msaada,mtaji wa mil.3 kwa mwanza nifanye biashara ipi

    Mkuu kama una eneo zuri na unaipenda project unganisha na wadau nguvu kazi ifanyike!!! Ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa
  14. P

    Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

    Du hii kali,jamaa coin ina pande mbili... Kama umeweza kuona mapungufu yote hayo kwa jamaa, inawezekana pia mkeo akafanya ivyo!!!! Ila kwa kuangalia ivyo vi'amount unavyompatia mke wa jamaa yako naamini hata kwa kufumba macho havimalizi shida zake zote! Nathubutu kuhisi inawezekana mmewe pia...
  15. P

    Siri ya wafanyabiashara wa Tz wanaofanikiwa ni hii

    Mkuu kilo saba saba, unataka tuungane kwenye nini?? Biashara gani?? Weka wazi watu waamue kukutafuta!!!
  16. P

    Business Advice

    Mhh... Kuna kitu kipo katikati ya mlima wa volcano kinaendelea! Chunga jamaa, usitume pesa yako kama haujathibitisha uwepo wao na wa uhakika! Usicheze kamali ya kutuma $2,500! GET RICH OR DIE TRYING
  17. P

    Nahitaji msaada wako wa kipesa ili niweze kulipia mtihani wa kidato cha nne 2013

    Last edited by JOACKIM THOMAS; Today at 14:40. POLENI KAMA KUNA WATU AMBAO KWA MIOYO SAFI NA HURUMA ZAO WAMEMTUMIA HUYU MTU PESA ZAO!!! ILA NDUGU YANGU KUMBUKA STYRE HII INAWAHARIBIA WENYE SHIDA NA MATATIZO YA KUTAKA KUSAIDIWA.. KIUKWELI HIYO SIYO STYRE YA KUTAFUTA PESA KWA KUSINGIZIA...
  18. P

    Nahitaji msaada wako wa kipesa ili niweze kulipia mtihani wa kidato cha nne 2013

    Haya mambo magumu sana, sipendi kumjudge muomba mchango au kutoa conclusion, ila kuna kila dalili kukawa na kitu mlango wa nyuma, na kama kweli itakua ivyo siyo vizuri kabisa kutapeli watu!! Mi naomba ujitokeza ujibu vizuri na kwa ufasaha, wewe ni mwanafunzi kweli, au dalali, au unatafuta pesa...
  19. P

    Nahitaji msaada wako wa kipesa ili niweze kulipia mtihani wa kidato cha nne 2013

    Du japokua hua sio mchangiaji ma topic nyingi, ila hii bora nichangie..!! Ila ikumbukwe kutoa ni moyo...,lakini bora ieleweke anaechangiwa ni mtu wa namna gani>>?????????? Nimepitia post zako za nyuma mpaka sasa sijaelewa kama una shida kweli ya iyo pesa>>>!!! Topic: Natafuta rafiki wa kuchati...
Back
Top Bottom