Search results

  1. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  2. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Kama ulikuwa hujui CRDB wanakukata 10% kwa kila unapolipa kwa Dola ($) kutoka account yako ya Tsh. Mfano juzi nimelipia 216$ nilikuwa na salio la Tsh. 618,591.67 mwisho nimebaki na 75,993.47. Japo wanadai hata mabenki mengine ndio hivyo hivyo. Hii sio sawa kabisa 10% ni kubwa sana asee kwa...
  3. Bakulutu

    Probx vs Succeed

    Habari wadau, hizi gari zinaonekana kama sawa hivi, ila naomba elimu zaidi ya google. Probox ya 2015 vs succed ya 2013 ipi nichukue? Je ni kweli succed ni probox ilio boreshwa? Kama ni kweli mbona bado anatoa?
  4. Bakulutu

    Probox au IST nivute ipi ?

    Wataalamu wa hapa nataka kuchua probox 2013 au ist 2006 japo mezani imezi zaidi upande wa probox sababu ua ukubwa na uwezo wa kubeba mzigo, nitakuwa sawa au? Ina changamoto gani ambazo common nijiandae?
  5. Bakulutu

    Ulishawahi kununua/agiza iphone kule Apple store?

    Habari, nataka kuagiza simu ya apple kule apple store, nataka kujua kama kuna mdau yeyote alisha wahi agiza na changamoto zipi alipitia mpaka kuipata.. 1. Gharama ni ile ya pale uliolipia naada ha ku checkout au kuna ziada baada ya kufika 2. Ilikuwaje? Hukubadilishiwa? Ilikubali kwa network...
  6. Bakulutu

    Kufanya mazoezi barabarani hasa kukimbia sio hatari kiafya?

    Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya mazoezi ya kukimbia barabarani mara kwa mara siku moja tukiwa tunapiga stori na rafiki yangu yeye ni “Dental Specialist” pale Muhimbili akaniambia hadhani kama kukimbia barabarani hasa hizi barabara zetu magari mengi, unavuta punzi ya moshi wa magari, unapisha na...
  7. Bakulutu

    Nichukue ipi kati ya hizi?

    Town ace 2c, inatumia desel ya 2005 , manually au lite ace 2002 manual inatumia petroleum? Town ace 1995? Liteace 2002
  8. Bakulutu

    Naweza pata Town ace inayotumia diesel kwa 15M

    Habari za hapa; Naweza pata hii gari wadau (sio lite ace) iwe 4WD kwa 15m ?
  9. Bakulutu

    Kwa wale wanasafiri na boti hasa kwenda Zanzibar unaweza tumia nini ili usjisikie vibaya katika ya bahari?

    Habari za hapa, Kwa sisi ambao hatuja zoea sana bahari tukisafiri na boti tunakuwa kwenye hali ngumu sana mara kutapika , kichefuchefu n.k . Wajuvi wanipe maarifa naweza fanya nini au kutumia nini kuondoa au kupunguza hali hiyo. Alafu niligundua hasa wakati wa kurudi bara ndio balaa linakuwa...
  10. Bakulutu

    Elimu: Ukipaki gari Muhimbili zingatia hili

    Ukiingia Muhimbili na gari unapewa ile kadi pale getini, ukipaki gari hakikisha unatoka na kadi yako mfukoni na usiache kwenye gari. Pale geti la kutokea hupiti bila ile kadi. Ikitokea umepoteza watakufanyia uhakiki mkubwa sana kuanzia kadi ya gari, leseni, vitambulisho, copy, namba za ndugu...
  11. Bakulutu

    Hivi hapa DSM wapi naweza pata sehemu nzuri ya bei ya kawaida ya kupa rangi na kunyosha gari kitaalamu?

    Kama unajua mahali wanaweza paka rangi vizuri na KUNYOOSHA body vizuri sio kupiga piga na kupaka putty [emoji23] pia ku spry gari ionekane kama haijawahi pakwa rangi. Usiniambie niende AZAM nasikia bei unanunua Vitz mpaka IST [emoji23]
  12. Bakulutu

    Kutoa jasho la harufu kali kwenye kwapa

    Habari Na ndugu yangu hata akitoka kuoga ile kubadilisha nguo tayari harufu nyumba nzima ya jasho kwenye kwenye kwapa. Nadhani ana tatizo la kutoa jasho sana ila lina harufu kali haswa, ni msichana namuone huruma sana akianza chuo anaweza kosa amani. Msaada wenu wataalamu hapa.
  13. Bakulutu

    Naomba kujua uhusiano wa mfumo wa umeme na ulaji mkubwa wa mafuta kwenye gari

    Katika pita zangu nikakutana na jamaa yangu akaniamboa amefanya maintenance kwenye mfumo wa umeme wa gari hasa ule unaoingia kwenye plugin gari imepunguza consumption ya mafuta kwa kiasi kikubwa . Sasa nataka kujua uhusiano ukoje na nisehemu gani hasa ya umeme yakutizama. Elimu haina mwisho!
  14. Bakulutu

    Tetesi: Kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa linalo hadhiri upatikanaji wa internet

    Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1 ambayo ndio tuna gombania hapa. Watalamu wa ku fuatilia wanaweza weka Updates hapa zaidi. Nawasilisha
  15. Bakulutu

    Nani anaifahamu hii kampuni ya kuuza internet ya konnect ?

    Naweza jua kama kuna mtu amesha wahi pata huduma zao? Nahisi kuna harufu ya UTAPELI , hawako wazi kabisa .
  16. Bakulutu

    Ahadi ni deni .

  17. Bakulutu

    Simple and clear

  18. Bakulutu

    “Timing Belt” inatakiwa kubadilishwa baada ya kilometer ngapi au muda gani? Na utajuaje

    Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana. Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Back
Top Bottom