Search results

  1. Bakulutu

    Car4Sale Nauza Subaru Forester XT

    Hii ni XT or XS? Navyojua xt ina turbo kama ni mjapani ila xs haina labda kama hii from Singapore
  2. Bakulutu

    Haya ndio magari chaguo langu

    Nissan [emoji777] Nissan [emoji777] Nissan [emoji777] Nissan [emoji777]
  3. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Wanasema ziko kwenye bank charges sasa sijui wana amua wenyewe au laah
  4. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Hapo wamenipasua rate (2570 x216) +10% ambayo wamechukua zaidi 50478.2 badala ya 555120 kama kusingekuwa na hizo chaji [emoji35]
  5. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Kama ulikuwa hujui CRDB wanakukata 10% kwa kila unapolipa kwa Dola ($) kutoka account yako ya Tsh. Mfano juzi nimelipia 216$ nilikuwa na salio la Tsh. 618,591.67 mwisho nimebaki na 75,993.47. Japo wanadai hata mabenki mengine ndio hivyo hivyo. Hii sio sawa kabisa 10% ni kubwa sana asee kwa...
  6. Bakulutu

    Ni betri gani nzuri kwa gari aina ya IST?

    Ukiwa vizuri weka amaron, muhindi huyo hatari sana
  7. Bakulutu

    Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nani anawadanganya subaru hazina mafundi, ulisha enda pale kinondoni 0-60 garage ? Viti kuwa chini kuna tatizo gani? Au wewe ni mfupi sana, jua pia kiti kuwa chini inakupa stability barabarani kama gari ni nyepesi. Spare za subaru ziko kila kona, spare gani umetafuta ukakosa? Yawezakana hata...
  8. Bakulutu

    Probox au IST nivute ipi ?

    Mifuko 40? Hapa hapana ulichapia [emoji1] kilo 400 (probox) na kilo 450 (succed) almost mifuko 8 mpaka 10 wewe unasema 40 !!
  9. Bakulutu

    Probx vs Succeed

    Uongo ! Utakutana na iliopigika mpaka ikaita maji mma..
  10. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Very true huwezi kuwa na amani na wachezaji hawa wa simba unga unga sana ..
  11. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Niliwaambia onana alicheza ligi ya Rwanda haina nguvu kama ligi yetu .. ni kawaida saana.. mpaka sasa simba hatuna mshambuliaji kiongozi ambae anaweza fungu eneo lolote au eneo gumu kama alivyokuww Mayele.. we need bully striker hata 2
  12. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Umeweka vyema sana ila Phiri umri unamkataa kabisa limebaki jina tuu.. umeweka safi kabisa hapo kwenye uangalizi ila phiri atupishe tuu
  13. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Hii ndio nataka sasa. Huwezi kuwa na timu ya wapambe na viongozi. Fyeka fyeka kabisa.. naanza mimi, hawa wachezaji wa njee hawastahili tena kuvaa jezi ya simba 1. Chama 2. Phiri 3. Baleke 4. Onana 5. Saido Ndani punzisha Boko akina kapombe, Mohamed wapate mbadala , Israel apewa nafasi zaidi ni...
  14. Bakulutu

    Probx vs Succeed

    [emoji106] asante sana
  15. Bakulutu

    Nmeishiwa nguvu baada ya mke wangu kunijulisha hili

    Mbona unaleta mambo yako ya familia huku kabla hata hujaenda hospitali ? Ona mizaa ilivyo mingi. Hizi teknolojia kuweni nazo makini. Nenda kwanza hospitali ukikwama ndio uje uombe ushauri hapa. Tujifunze kitunza faragha zetu.
  16. Bakulutu

    Niagize samaki sato/sangara/dagaa wa kukaanga nikutumie mpaka ulipo kwa uaminifu

    Unasafirisha kwa njia gani? Mfano hao samaki 17 sato ulisafirisha wapi na kwa njia gani?
  17. Bakulutu

    Probx vs Succeed

    Habari wadau, hizi gari zinaonekana kama sawa hivi, ila naomba elimu zaidi ya google. Probox ya 2015 vs succed ya 2013 ipi nichukue? Je ni kweli succed ni probox ilio boreshwa? Kama ni kweli mbona bado anatoa?
  18. Bakulutu

    Probox au IST nivute ipi ?

    Mbona wanasema succeed sio kazi ni laini sana
Back
Top Bottom