Search results

  1. D

    Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

    Mtusaidie katika kila mnalofanya mtuachie amani ili tujishughulishe na maisha maana kikiwaka hapa hata huo muda wa kwenda kutafuta tutauokosa. Mungu ibariki Tanzania!
  2. D

    Mivutano yaanza kuzuka ndani ya UKAWA

    Watu tunapenda kusikia tunayopenda kusikia hata Kama si Kweli. Ni vigumu sana katika hisia za ushabiki kukubali kusikia Yale tusyotaka kusikia hata Kama ninkweli. Ndiyo maana hata katika forum Kama hii ambayo ni "for great thinkers" Watu hawajengi hoja pindi lile wasilopenda likiandikwa Bali...
  3. D

    Prof. Lipumba alikuwa ana maana gani anaposema viongozi wa CHADEMA ni wacheza disko

    You are right brother Msalani... Kwanza wanakiri kuwa "Jamani tuungane maana CCM Ina nguvu" Kumbe mnajua CCM Ina nguvu... Jipangeni sawa sawa.... Na ikiwezekana msajili UKAWA Kiwe chama cha Siasa.... Halafu kijana wenu ZITO Kabwe mmeamuacha wapi? Bado angewasaidia sana kuwa Mwenyekiti aw...
  4. D

    Prof. Lipumba alikuwa ana maana gani anaposema viongozi wa CHADEMA ni wacheza disko

    Problem ya vyama Vya Upinzani vinaendeshwa na matukio.... Kesho likiibuka jambo lingine wanalibebea bango. Kule bungeni wakazua kuwa hati ya Muungano haipo... Ilipotolewa sahihi zimegushiwa.... Baadaye Mpira kwapani haooooo... Kibanda maiti.... Makahakamani .... Kuungana. Huko Nyuma kuna tatizo...
  5. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Mti hujulikana kwa matunda yake... Mbona mimi sijatukana... Nimejenga hoja - naweza nisiwe sahihi kwa nini unitukane? May God bless you!
  6. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Akiki za maiti! Ha ha haaaaaa... Unakumbuka wewe Mara ile Watu wangapi waliuliwa Pemba? Halafu nini.... Mwalimu Seif na Karume wakakutana ikulu wakanywa juice na kutoka na muafaka.... Nikuulize muafaka ule uliwataja waliokufa? Basi angalau wazazi wao wapate fidia kidogo (ingawa hakuna fidia...
  7. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Tahrir Square?..... Maskini... Unanikumbusha Mzee Mohamed Morsi... Yuko jela... Watu zaidi ya 500 wamehukumiwa kifo. Think before you strike!
  8. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    ​Chezea siasa wewe.... Unaweza kufikiri UKAWA wamefunika kibanda maiti... Subiri CCM nao Waite Mkutano hapo hapo.... Sikilizeni.... Shindaneni halafu mkalale.... Kauli za "kwa gharama yoyote..." mkimaanisha damu zetu HATUTAKI. Kama Kweli mnataka damu zimwagike mwageni za kwenu kwanza...
  9. D

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Chezea siasa wewe.... Unaweza kufikiri UKAWA wamefunika kibanda maiti... Subiri CCM nao Waite Mkutano hapo hapo.... Sikilizeni.... Shindaneni halafu mkalale.... Kauli za "kwa gharama yoyote..." mkimaanisha damu zetu HATUTAKI. Kama Kweli mnataka damu zimwagike mwageni za kwenu kwanza. Ninyi nyote...
  10. D

    UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

    Mimi natabiri kuwa UKAWA wakitoka mahakamani watasema "Hata mahakama nayo si huru ni ya CCM" Halafu baadhi ya wananchi watawauliza "Mbona mlipoteza fursa ya kurekebisha Hilo kwenye Bunge la Katiba" Jamani ni utabiri wangu tu. Msinipige Mawe.
  11. D

    UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

    Mimi natabiri kuwa UKAWA wakitoka mahakamani watasema "Hata mahakama nayo si huru ni ya CCM" Halafu baadhi ya wananchi watawauliza "Mbona mlipoteza fursa ya kurekebisha Hilo kwenye Bunge la Katiba" Jamani ni utabiri wangu tu.
  12. D

    CCM Ilizaliwa Ikakua na Sasa Inaelekea Kufa 2015

    Ni Kweli Kabisa Watu huzaliwa, hukua, na kisha kufa.... Bahati mbaya wengine huzaliwa na kufia hospitali kabla hata hawajakua....
  13. D

    Vijana Tanzania Amka Tupambane na Umaskini

    Bigmukolo.... Are you serious? Una Masters na bado unamtegemea father? Come on - Masters yako ni katika nini? Be creative man and maximize your potential...
  14. D

    Kwanini Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ziwe za Jeshi?

    Acheni kumsingizia Mwalimu kwa kila Kitu. Hivi mnakumbuka maonyesho ya ndege za kivita 1980 (Kama nakumbuka vizuri) ndege yetu moja katika maonyesho Yale ilianguka na tukapoteza Marubani wawili. Ilikuwa ni enzi za Mwalimu. Kitu kikiisha kuwa Sheria ni jukumu la Jeshi kulinda. Maonyesho ya...
  15. D

    Kwanini Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ziwe za Jeshi?

    "vile vindege hata ukipopoa kwa Mawe vinaanguka" Is this great thinking au ushabiki we Kama Yanga na Simba?
  16. D

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    My friend... Nijibu nini? Mimi nimecomment mahojiano ya Warioba na Mwandishi.... Narudia tena... Kwamba Kama ambavyo mwandishi alikumbuka kumuuliza Mh. Warioba juu ya maoni binafsi ya Mh. Lukuvi kuhusu Jeshi na akasikitika San kuwa Hiyo ni sawa na kile alichokiita "Kutishia wananchi" basi...
  17. D

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Naomba sana tena sana.... Kwamba kwa kuwa mwandishi kakumbuka kumuuliza Mheshimiwa Warioba kuhusu Kauli ya Mh. Lubuva kuwa Jeshi linaweza kuchukua madaraka na Mh. Warioba alijubu kwa masikitiko makubwa kuwa Hiyo ni sawa na kutishia wananchi.... Basi naomba aniulizie maoni ya Mh. Warioba kuhusu...
  18. D

    Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Mmmh muda utahukumu. CUF na sera za udini + CHADEMA na sera za Majimbo = ???????????
  19. D

    Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    But UKAWA if I am correct means "Umoja wa Katiba ya Wananchi" Now, you have walked out from the Bunge la Katiba. You said you want to go to Wananchi and tell them that you are not happy with the process in the house and that CCM is diverting the will of the people (three governments) according...
Back
Top Bottom