Naimani mko poa wana JF kama mada ilivyo naomba mchango wenu.
Utasikia watu wengi wakisema kwenye siasa na biashara hauwezi kutoboa kama hujaenda kwa wale wazee wataalamu binafsi sina hakika kwenye ili wadau nyie mnaonaje.
Naamini humu hayo makundi yote yamo tupeni experience wakuu.
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua asilimia kubwa ya ndoa zinazodumu ni zile ambazo kijana ametaftiwa mke na wazazi wake na yye akaridhia hilo
Kijana wa leo haoni kuvunja ndoa kama ni shida maana ukifatilia sana utakuta waliokotana bila kujuana lolote hawa hata kuachana ni kawaida...
Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga kama majanga mengine
Ninaavyoona mimi sababu hasa ni kutokuwa wavumilivu ni kweli kunammbo yanaboa to...
Wadau natumaini mko poa, kuna hii kauli inazagaa sana kwenye social media hasa humu "jf" utaskia mtu anakoment jambo fulani mwisho anasema "MITANO TENA " kwa nnavyofikir mmi kauli hii kama vile imekaa kichochezi flani wwe unaonaje mdau
Nawasalimu wana jf wote popote mlipo
Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wa kununua simu used na kuziuza napenda kufanya hii biashara ila uzoefu ndo sina kuna jamaa alinambia Nairobi zinapatkana kwa bei nzuri naombeni wajuvi wa hili wanisaidie wapi naeza pata mzigo kwa bei nzuri
Natumain wana JF mko poa, mimi ni muajiriwa serikalini ila kiukweli siko interested na KUAJIRIWA hata kidogo na ilitokea tu nikaajiriwa maana sikua na namna. Nimejaribu kukubaliana na hali but naona niatesa nafsi yangu hivyo nimeamua niache niendelee kuwa mjasiriamali, aliyepitia hili naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.