Search results

  1. A

    Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naomba mmoja ambaye alishafanya yote (alianza bila izo mambo akashawishiwa akajiingiza) atuambie tofauti yake
  2. A

    Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naamini hivyo pia ila jamii kubwa inaamini tofauti
  3. A

    Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naimani mko poa wana JF kama mada ilivyo naomba mchango wenu. Utasikia watu wengi wakisema kwenye siasa na biashara hauwezi kutoboa kama hujaenda kwa wale wazee wataalamu binafsi sina hakika kwenye ili wadau nyie mnaonaje. Naamini humu hayo makundi yote yamo tupeni experience wakuu.
  4. A

    Nashauri vyeti vya ndoa viwe na kikomo(expire date)

    Katika ndoa100, labda inaweza kupatikana 1 tena kwa bahat ambayo angalau kidoogo ina challenges ndogondogo. Yaani sio walioshkilia dini, sio wapagani, sio wazee, sio vijana, sio vijijini wala mjini ndoa zimekuwa mateso hadi wengne kuamua kijiua. Ukienda kwa wanaume wanasema sikuizi hamna...
  5. A

    Kosea vyote, usikosee mume

    Hasa kwa jack hajafnya fair hata kidogo
  6. A

    Kosea vyote, usikosee mume

    Kama ni kweli nyie ni wanandoa hamfanyi fair coz ni kama mnaanika madhaifu yenu tuyajue tu basi
  7. A

    Hela ya mwanamke huliwa na nani?

    Da yani kina dada pasua vichwa kwenye suaka la pesa yake mkali bala
  8. A

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Naomba mwenye uelewa wa hii biashara yaani mfano niko Dodoma nataka nipate wapi naweza kupata mzigo kwa bei nzuri.
  9. A

    Usaliti wenye ulazima

    Kwanza sio sahihi uamuzi ulioufanya wa kutoka na huyo binti but also wwe ni mvumilivu kiwango cha juu kukbali aendelee na mahusiano na familia ya ex wake mana yake bdo pia yupo close na ex wake tarajia kukatkea event ikawahusisha wew na ex wako sjui nni kitaendelae halafu inaonekana ukienda...
  10. A

    Mke wa kuchaguliwa na wazazi na yule wa kuchagua mwenyewe

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua asilimia kubwa ya ndoa zinazodumu ni zile ambazo kijana ametaftiwa mke na wazazi wake na yye akaridhia hilo Kijana wa leo haoni kuvunja ndoa kama ni shida maana ukifatilia sana utakuta waliokotana bila kujuana lolote hawa hata kuachana ni kawaida...
  11. A

    Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Kweli kaka utamkuta mnaishi mbali yaani kuktatana kwa mwaka mara 2 au tatu huyu hata ukiskia amecheat mvumilie tu hujui yaliyomkuta
  12. A

    Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Ni kweli mkuu kipengele cha kuchagua mwenza ni nyeti sana japo wengi hawakizngatii kwa kuongozwa na mihemko
  13. A

    Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga kama majanga mengine Ninaavyoona mimi sababu hasa ni kutokuwa wavumilivu ni kweli kunammbo yanaboa to...
  14. A

    'Mitano tena' maana yake nini?

    Wadau natumaini mko poa, kuna hii kauli inazagaa sana kwenye social media hasa humu "jf" utaskia mtu anakoment jambo fulani mwisho anasema "MITANO TENA " kwa nnavyofikir mmi kauli hii kama vile imekaa kichochezi flani wwe unaonaje mdau
  15. A

    Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    Mkuu hiyo hali inatokea watu wengi hasa wanaonza biashara kuumbuka hiyo biashara unayofanya wapo wengi wanaifanya pia so hapo ni kitendo cha kubadili mawazo ya wateja waje kwako wasiende kwa wengine na kuwatafta wapya na hiyo ndio kazi zenyewe wala usifkirie eti sjui mikosi hamna iyo skushauri...
  16. A

    Biashara ya smu used

    Nawasalimu wana jf wote popote mlipo Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wa kununua simu used na kuziuza napenda kufanya hii biashara ila uzoefu ndo sina kuna jamaa alinambia Nairobi zinapatkana kwa bei nzuri naombeni wajuvi wa hili wanisaidie wapi naeza pata mzigo kwa bei nzuri
  17. A

    Alieacha kazi naomba anipe experience

    Kinachonipa moyo kidogo wife ni mtumishi pia
  18. A

    Alieacha kazi naomba anipe experience

    Umeongea point sana
Back
Top Bottom