Search results

  1. Pununkila

    DOKEZO Kashfa ya Rushwa na Uhaba wa Mafuta: Hatma ya EWURA na Waagizaji wa Mafuta

    Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali Wafanyabiashara hao wamemwambia...
  2. Pununkila

    Maisha na maajabu yake

    MAISHA NA MAAJABU YAKE ✔Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone ✔Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme🙉🙉 ✔Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda🤓🤓 ✔Aliyegundua pesa alikufa na madeni😪😪 ✔Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani😜😜 ✔Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake...
  3. Pununkila

    Yanayofanyika ni madudu matupu

    Yayayayayayayayay TRAB NA TRAT
  4. Pununkila

    Byuti Byuti vs Unstopable

    💥BYUTI BYUTI vs UNSTOPPABLE Direct Footbal vs Lunyas Phylosopy. ✍️Game approach and Mentality. Ni mchezo unaohitaji nidhamu ya hali ya juu na wachezaji wenye uwezo wa kuamua matokeo kwa timu zote mbili. ✍️Techniques and Tactics. Mifumo ya walimu kwa soka la kisasa hutegemea na kubadilika...
  5. Pununkila

    A.K.A za wachezaji wageni vs A.K.A za wachezaji wazawa

    Hii kitu sijui wananzengo imekaaje embu tuanze. A.k.a za WACHEZAJI wa kigeni 1.clatos Chota chama- ball brain 2 aucho - football doctor 3 onyango -1/2 mtu,1/2 chuma 4 inonga baka- verane 5 diara- screen protector Haya sasa A.K.A za WACHEZAJI WAZAWA 1. Ibrahim ajibu- mzee wa makorokoro🤣...
  6. Pununkila

    Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU

    Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU Tafuta hela hata maarage yanapikwa kwa gesi Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama Tafuta hela wewe hakuna mwanamke anaechoka usiku Tafuta hela uache kusema weka chips za kushiba Tafuta hela hauna ndugu wachache. Tafuta hela uache...
  7. Pununkila

    Wanaume tupo katika vita vikali sana. Tujipange!

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu, sasa kama ni kweli haya mambo yanatendeka basi wanaume lazima tujue tunapigana vita vikilai sana ama kwa kujua ama kutojua... Uzi tayari...
  8. Pununkila

    Chunga sana hiki kitu kwenye mahusiano yako ya ndoa

    Miongoni mwa mambo yanayopelekea mahusiano mengi ya ndoa kuvunjika ni pamoja na kutoa baadhi ya vitu, maneno au matendo yanayoihusu ndoa yenu kuwapelekea watu wengine ambao si wahusika wa ndoa hiyo. Wapo baadhi ya watu waliopo kwenye maisha ya ndoa wao hata uwafanyie nini basi wao kukaa kimya...
  9. Pununkila

    Shuleni walikupa jina gani la utani na kwasababu gani?

    Kipindi Niko shule ya msingi ,sekondari ,na chuo karibia wanafunzi na waalimu walikuwa na majina ya utani Nakumbuka mm wakati Niko shule ya msingi walikuwa wananiita mtambo kutokana na kukarua hesabu Sana. O-level ,likaja jina jingine la mr.president hii ni kutokana na siku moja kuwatetea...
  10. Pununkila

    Paka anaezagaa mitandaoni, tupia kituko chake ulichokutana nacho

    Wakulungwa huyu paka amekuwa maarufu Sana MITANDAONI kiasi kwamba siku haiwezi kuisha bila kukutana naye. Kama umekutana nae huyu msela paka, TUPIA picha yake tuone ni maswaibu gani yanayomkuta.
  11. Pununkila

    NCHI NGUMU SANA HII

    Sasa furaha alionayo ex wa huyu manzi kabla ya sabaya sijui ikoje
  12. Pununkila

    Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

    Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba. Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za...
  13. Pununkila

    Hii nchi ngumu sana

    Mkuu wa mbio za mwenge amegoma kuzindua Banda hili kutokana na mauzauza alioyaona kwenye ripoti.
  14. Pununkila

    Hassan mwakinyo sasa ni bondia nambari 11 duniani

    Bondia Hassan MWAKINYO ameweza kupanda kwa nafasi mbili kutoka kuwa bondia NAMBARI 13 na sasa ni bondia NAMBARI 11 duniani katika uzito wake wa walterweight....
  15. Pununkila

    Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi. Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Septemba 7...
  16. Pununkila

    FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba 45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
  17. Pununkila

    Wachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa

    Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...
  18. Pununkila

    Hakuna text mwanaume anaituma kwa uchungu kama "KWA HIYO HUJI"?

    WANAUME wengi sana imetutokea ama kwa kukusudia ama kwa kutokukusudia kutokana na machungu unajikuta unaandika tu KWA HIYO HUJI?
  19. Pununkila

    Tujiandae kurudi kwenye chukuchuku maana bei ya mafuta haishikiki

    Wanabodi huku mtaani harufu ya Mafuta ya kupikia tumeshaanza kuisahau taratibu, bei inazidi kupaa Kila kukicha. Imefikia kipindi Sasa Matuta ya kupikia limeanza kuwa Jambo la anasa .Kuna watu imebidi tuanze kurudi kutumia mawese hata Kama itatuwia ngumu lakini hakuna namna maana Mambo ni...
  20. Pununkila

    Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

    Wanabodi heshima kwenu, heri ya mwaka mpya. Mwaka uliopita katika harakati za kusaka ndururu nikapata mchongo wa kwenda mkoa wa Katavi wilaya ya Tanganyika,tarafa ya Karema Kijiji cha Ikola. Mwanaume nikajikoki huyoo mpaka Katavi Mjini Mpanda. Kufika Ikola nikadandia ki-hiace masaa matano...
Back
Top Bottom