Search results

  1. T

    SMILE wana matazizo gani?

    Mtandao wa SMILE haupatikani na simu zao za customer service hazipatikani wala tovui yao haiko hewani. Wamefunga duka kwa maana ya mufilisi au mvua zimeleta mushkeli?
  2. T

    Semina za kupanda na kuvuna za Mwakasege, aliyevuna atuletee mrejesho hapa.

    Mkuu, Heshima yako. Unajua katika kukua kiroho,unaweza ukagain kwa kulose. Nikiwa na maana unapoteza vitu vilivyokuwa vinakufanya usiweko kwenye uwepo wa Mungu kwa mfano uzinzi, choyo, hasira, pride etc. Mwisho wa siku unakuwa umegain. Ukiwa unaangalia kama mtu amepata gari sijui nyumba baada...
  3. T

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Mkuu, Naomba ucheki tena facts zako. Nakumbuka kama alifia Muhimbili na alikuwa anaumwa. Ila nimecheki kwenye JF yenye linki nii, comment ya 6 Orodha ya wasomi tuliopoteza - JamiiForums
  4. T

    Nimefugishwa majoka na mwekezaji, yanakua na kuzaliana na sijui namna ya kuyaangamiza

    Mkuu, Nenda Maliasili haraka sana. Watakusaidia. Kinachofuatia ni nyoka kubomoa na kutoka nje. Madhara yake yatakuwa makubwa sana. Usiwape chakula Weka maji yenye sumu. Nunua Thiodan uweke
  5. T

    Mjadala: Doctor of Medicine Vs Bachelor of Pharmacy

    Kamanda, Sijapenda maswali yako. Mepesi mno na yanaonyesha jinsi gani hupendi kufanya utafiti kidogo. Hatari yake ni kwamba utajikuta unapewa wrong information na ukajikuta unaamini vitu vya ajabu......
  6. T

    Kitu Namba 3 Ambacho Wanaume Hawakipendi Sana kutoka Kwa Wenza

    Mkuu. Nilidhani wangu ndo ana ugonjwa huo! Kumbe ni global phenomena.....
  7. T

    Wachagga: kabila kwenye maeneo 15

    Mkuu, Mashati, Useri na Mkuu ni moja! Na Marangu na Mamba ni moja.Wachagga ni vijikabila 12 ndani ya kabila 12,kama Waisraeli
  8. T

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Hongera Dawasco. Good move. Nadhani mkizingatia ushauri mliopewa humu ndani,mambo yatakuwa mazuri. Ni aibu kwa nchi, pamoja na vyanzo vya maji vingi tulivyo navyo, bado wanahangaika kupata maji safi na salama.
  9. T

    Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

    Hongera zenu wakenya. Mnastahili! Kazi nzuri
  10. T

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Neema ya Mungu ikutane nawe
  11. T

    "Rais wa misiba"

    A silent fool is counted wise......
  12. T

    Vitu 5 ambavyo matajiri huvizingatia mno

    Mkuu nimependa tarehe uliyojoin JF.....it speaks volume.....Ulikuwa unasemaje kuhusu vitu 5?
  13. T

    Sababu ya wasudani kuwa na uume mikubwa na Jinsi ya kuongeza uume

    Duu..... Mkuu, unataka kusema magenius wana kitu kidogo kama nukta?
  14. T

    Mchungaji Anthony Lusekelo: TB Joshua ni tapeli

    Amri kuu kuliko yote aliyotuambia Bwana wetu Yesu Kristu nu UPENDO. Upendo haubagui,hauna visa,visasi wala chuki. Mwenzako akikukosea,muombee. Naona Lusekelo amesahau huu msingi mkuu wa dini ya kikristu. Amekuwa akitoa matamshi makali kwa watu mbali mbali yenye lengo la kuharibu badala ya...
  15. T

    My best gospel song ever

  16. T

    My best gospel song ever

    Benjamin Dube - I know only you
Back
Top Bottom