Search results

  1. Mtaunaki

    Utambulisho

    Habarini wanaJF, mimi Nina wiki moja tangu nijiunge na JF, nilijisahau kujitambulisha, ninaitwa ABDALLAH MTAUNAKI. Naomba ushirikiano wenu.
  2. Mtaunaki

    Naomba kujuzwa haki ya Mtuhumiwa wakati wa kukamatwa

    Habarini, Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
Back
Top Bottom