Search results

  1. Hassanmanz

    Natafuta gari kwa ajili ya Uber na Bolt

    Habari, Wadau Kwa majina naitwa Hassan Mohamed naishi Yombo Vituka, temeke ninatafuta gari ya hesabu au mkataba ya Uber na Bolt Kwa yeyote mwenye uhitaji na dereva nipo tayari muda na saa yeyote napatikana Kwa nambari za simu zifuatazo: 0782639687
  2. Hassanmanz

    Mimi ni Dereva, natafuta kazi ya kuendesha gari ya Uber

    Habari za majukumu ndugu zangu kwa majina naitwa hassan Mohammed ninaishi Yombo Kiwalani ilala ninahitaji gari ya kazi(Uber) Nina account zote Uber na Bolt na zote zipo active Nina uzoefu usiopungua miaka miwili Nina umri wa miaka 25 nina leseni daraja C3 napatikana kwa namba za simu...
Back
Top Bottom