Search results

  1. M

    Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    Du!!! sijakusoma vizuri. naomba uweke sawa
  2. M

    Ushindi wa lema leo ni ushidi wa watanzania wapenda maendeleo

    kwa bahati mbaya ameshindwa Jimbo la Arusha liko wazi. G. Lema usikate tamaa. tuko pamoja. Naungana na Kauli ya Nassari "Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu"
  3. M

    hukumu kesi ya lema

    Du! kweli hii imekaa vibaya. hakuna taarifa ambayo imenisikitisha kama hiyo. Wanachadema wa Arusha Pls msife moyo. bado nafasi mnayo kutetea kiti chenu. Na pia muwe na uvumilivu epukeni vurugu kwa maslahi ya WanaArusha
  4. M

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Hongera sana Nassar, Pia pongezi nyingi kwa Chama (CHADEMA) kwa sera nzuri hadi wananchi wakawakubali. Ni ushindi wa kishindo kikubwa sana nimejaribu kuangalia kura za 2010 na za leo kutoka 15 hadi 32 kweli nimeamini chadema inapiga kasi. mwendo mdundo. Cjui ndugu zangu wana CCM tunajifunza nini...
  5. M

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    mimi nahisi kuna watu huwa hawalali usingizi wa sababu ya huyu EL. Sion maana ya hii topic. vyovyote mtakavyomwita yeye hajali anasonga mbele. Hivi kwa nini mnaumiza vichwa kwa mtu ambaye hata kujibu hajibu? unafikiri yeye hana akili? ana mengi ya kuwaza yenye maana kuliko nyie mnaowaza kila...
  6. M

    Lowassa akiwa Rais...

    Hata mm sioni sababu ya kumtaja Lowassa. Kwani aliwahi kukuambia kuwa atagombea Urais? au ni mawazo yako ktoto.
  7. M

    Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

    Hi everyone. Mimi ni mgeni humu javini naomba kuchangia hii mada. Kifupi acha kuwapotezea muda hao kinadada. Wewe si muoaji. ungekuwa muoaji muda mrefu ungekuwa umefanya maamuzi wa yule ambaye ulianza naye. kwanza unasema unawanawake 3 uliwapata kwa pamoja au kwa nyakati tofauti? nimekuona...
Back
Top Bottom