Search results

  1. D

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    safi sana tuko pamoja wadau nawaunga mkonio
  2. D

    tutofautishe muda wa mapenzi na muda wa kazi

    jamani wana jf tuwe wastaarabu kwa kujali muda. mapenzi yawe na muda wake na kazi zipewe muda wake. kuna tukio moja lili tokea katika wilaya ya kahama tar 13 februar ambapo mhandisi wa halmashauri alitoka ofisini saa nne asub na kwenda kuchukua mke wa mtu na kwenda kufanya nae mapenzi. tena mme...
  3. D

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    naunga mkono huo mgomo . madaktari kazeni buti hakuna kurudi nyuma kama walimu. serikari ilidhani nyie nao ni walimu hambao huwa wanaigiza mgomo huku hawawezi zaidi ya kupiga kelele bila vitendo . kazeni buti
  4. D

    Kumbe wajumbe wa nyumba kumi hawamo katika serikali ya mitaa

    barozi sio kiongozi wa serikali bali ni mwakilishi wa chama chochote katika kila nyumba kumi. hivyo basi usishangae kusikia hapo mtaani kwenu kuna barozi wa ccm chadema, nccr, udp na wengineo . na pia kumbuka kuwa barozi anachaguliwa na wanachama wa chama husika tu. lakini ukienda polisi hasa...
  5. D

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    acha kutushusha hadhi wana jf. unapokubali kuingia mkenge ktk maigizo ya ccm na jk basi unaonyesha jinsi ulivyo mdhaifu . sisi waelewa tunajua balali yuko hai na anaendelea kula kuku kwa mrija. ila ccm inajua kuwa mchezo wake wa kuwadanganya wadanganyika umefanikiwa [ loo samahaan ni...
  6. D

    Hongera Waziri Maige kutoa ufafanuzi wa tuhuma za milioni 500

    Na pia tunataka atueleze ni kwanini anakwamishamhalmashauri ya mji wa kahama kuanza? Au kimahesabu amekwishaona kuwa ikianza meaya atatoka chadema kutokana na idadi kubwa ya madiwani wa mjini wametoka chadema . Tafadhaki atupe maelezo
  7. D

    Nchi moja tena maskini lakini marais watano (5) ~ Tanzania!

    midomo ya uongo ni chukizo kwa bwana bali watendao uaminifu ndio furaha yake. mwanadamu mwenye busara husitiri maarifa bali moyo wa wapumbavu hutangaza upumbavu. mkono wa mwenye bidii utatawala bali mvivu atalipishwa kodi. mwecheni huyo mpumbavu abaki na upumbavu wake anaeita watu wapumbavubila...
  8. D

    Lowassa kufagiliwa kahama wamruka

    kwanza huyu anaejiitamwenyekiti wa bodi sio kweli ni diwani mshindwa asiye kuwa na sera anaishi kifisadi tu hapo kahama
  9. D

    Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

    pole sana tuwe makini na wanao mtibu inawezekana wakaongeza dozi ya kumuondoa kabisa mpiganaji wetu . hawa watu hawfai kabisa wameshindwa kwa mwakyembe sas wameamia huku kwetu . "peoples power"
  10. D

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    muungano hauna faida yoyote ile kwa watanganyika zaidi ya kutufanya kuwa watumwa wa ccm. mataifa makubwa kama urusi yameshndwa kuwa na muungano alaf sisi tunajisifu kuwa tunaudumisha muungano kumbe ni upuuzi tupu na kuonyesha ufinyu wa kufikiri kwetu sisi watanganyika . ikitokea nikawanauwezo...
  11. D

    Utata wa Tanganyika na Tanzania

    Nashukuru sana mtanganyika mwenzangu kwa kuwakumbusha watanganyika wasio elewa utaifa wao. Na pia nina mashaka na wale watu wazima wanao simama mbele za majukwaa na kusema ni uhuru wa tanzania sin ahakika kama akili zao ziko active. Hakika nakwambia mi ntakufa naitambua tanganyika
  12. D

    naomba kuelimishwa kuhusu hili

    TANZANIA NI NINI KATI YA HAYA MAJIBU 1 jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar 2 jamuhuri ya muungano wa tanzania 3 jamuhuri ya muungsno wa tanzania na zanziba
  13. D

    Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

    asanten ndu zangu wa jamiiforum kwa mapambano dhidi ya wabay wa maendeleo nami ntakuwa pmoja nayi katika mapambano tushirikiane
  14. D

    Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

    asanten ndu zangu wa jamiiforum kwa mapambano dhidi ya wabay wa maendeleo nami ntakuwa pmoja nayi katika mapambano tushirikiane
  15. D

    Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

    umesema kweli mtu wangu sita ndiye chaguo la wanyonge na sio fisadi lowasa
Back
Top Bottom