Search results

  1. B

    Hakuna mbunge yeyote anayeleta maendeleo, maendeleo huletwa na Serikali

    Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo Naomba kuwasilisha
  2. B

    Ushauri Unahitajika, ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja Ni taratibu gani zitumike ili mtu anunue kiwanja
  3. B

    Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Habari Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi. Naomba kuwasilisha
  4. B

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  5. B

    Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    Wakuu sorry, Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi. Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu. Dah
  6. B

    Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  7. B

    Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Wakuu poleni na majukumu. Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania. Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
  8. B

    Bureau Change zisipofungiwa uchumi utazidi kushuka

    Nikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona. Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi wanabadilisha dollar, ukifika dirishani uweze kupatiwa dollar, wanakuambia hawana, hii ni uhujumu uchumi kabisa...
  9. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  10. B

    Haya ndio maajabu ambayo yanapatikana Tanzania tu

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine 1. Fine za barabarani Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja sheria, ila eti kwa vile ni vyombo vidogo, eti vilipunguziwa fine hadi elfu 10. Kwani tunaangalia ukubwa...
  11. B

    Ngoja ninoe kadi yangu ya chama, 2025, tutapambana. Watashindana lakini hawatashinda. Same magharibi nakuja kuwa mkombozi wenu

    Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile...
  12. B

    Dunia uwanja wa vita

    Kiukweli wanadamu tumekuwa na roho mbaya sana. Dunia tunapita tu, Ila Kuna watu Wana roho mbaya hakuna mfano. Hivi ukimfanyia mwenzio roho mbaya unapata faida gani, ukimchafua mwenzio unapata faida gani. Kwa maana wanadumu kusudio letu la kuwa Duniani ni kumwabudu Mungu, mengine yote ni...
  13. B

    Ushauri: Rais Samia tunaomba utamke kesho kuwarudishia misharaha watumishi walioshushwa mishahara yao

    Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na kujali watumishi, Tunakupenda sana Rais wetu, jemedari Samia Suluhu Hassan.
  14. B

    Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
  15. B

    Natafuta desktop complete

    Iwe complete Ram 500 4 gb Bajeti 200,000 Naomba kuwasilisha
  16. B

    Kwanini kuwe na kikokotoo Cha mafao ya wastaafu

    Mi nashauri vikokotoo vyote vifutwe, mtu akistaafu apewe hela yake yote. Nawasilisha
  17. B

    Andika chochote kinachohusiana na nchi yetu, kivyetuvyetu

    Mi naanza na IDD yetu, kivyetuvyetu
  18. B

    Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

    Kama kawa, Kama dawa
Back
Top Bottom