Search results

  1. I

    Tuseme ukweli! Jaribio la treni ya SGR lilishindwa kufikia lengo

    Wakuu kwani lengo la kufanya Jaribio ni nini?, kwa sababu navyofahamu mimi lengo kuu la Jaribio ni kupima ufanisi kwa sababu mfanya Jaribio hana uhakika na ufanisi uliokusudiwa na kama Jaribio limeonyesha kuwa hakuna ufanisi tarajiwa basi Jaribio limefaulu kwa asilimia mia, na hivyo limewapa...
  2. I

    Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

    Bodi zote zaMazao zinapaswa kuwa bodi moja, na kila zao kuwa kitengo au idara ndani ya mwamvuli unaoitwa bodi ya mazao, hii itapunguza gharama ya kila zao kuwa na bodi.
  3. I

    Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Hawo Mabeberu wanapaswa kujua kuwa Tanzania ni Jamuhuri, na kama ni Jamuhuri basi inapaswa kujiamulia mambo yake yenyewe bila kupangiwa na wao Mabeberu.
  4. I

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Sio madereva TU mkuu, Hilo tatizo lipo hata kwa Abiria wengi
  5. I

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kwa hiyo Ili kudhibiti vifo yapaswa kushughulikia uzembe na si safari za usiku, tupo pamoja bro.[emoji38]
  6. I

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Lakini umesema inasemekana which means yr not sure!
  7. I

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Mkuu Siku Yako ya kufa ikifika imefika TU hata ukisafiri mchana. Kwani wewe unadhani hao madereva wanapenda kufa.
  8. I

    Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    Nakushauri upeleke malalamiko Yako Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Hawa nadhani wanaweza kukusaidia, waliwahi kusaidia kesi ya mwanafunnzi WA UDOM na taarifa Yao waliioto kwa Umma kama sikosei.
  9. I

    Prayer is an act of doubt, not faith

    Hakika Mungu ambaye hajui viumbe wake wanamahitaji gani Hadi akumbushwe ni Mungu wa hovyo kwelikweli na hana tofauti na binadamu.
  10. I

    Prayer is an act of doubt, not faith

    Umenena vyema kabisa mtumishi, sala ni kujipendekeza kwa Mungu Ili akupe upendeleo kuliko wengine na kusali ni Ubinfsi mkubwa sana hata Mimi huwa Sisali, kwani kitendo cha kupewa akili kinatosha kuishi na hatuhitaji kujipendekeza Wala kuwa chawa wa Mungu kwa njia ya Sala ama njia yoyote Ile.
  11. I

    Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  12. I

    Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Wewe mtoa mada kwani ni lazima kila siku sisi ndo tuwe watu wa kuiga, kwani na hao unaowasema hawawezi kuja kuiga huku?.Nadhani ifike wakati na sisi tujione kiwa tunaweza kifanya jambo letu na likaigwa na tuondokane na hizo fikra za kitumwa.
  13. I

    Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Huyu jamaa sijui hana kazi zingine za kufanya?,Huyu c msomo anayejinasibu kuwa amebobea kwenye maswala mtambuka ya uchumi, yaani anashindwa kufuga hata kuku?! Huyu c ndo hua anasemaga uchumi mzuri na vijana hawaoni fursa?, Kwanza huyu amekuwa kama kurumbizi kuvamia vibanda vya wengine na...
  14. I

    Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

    Hakuna sheria iliyovunjwa, baba amewataka polisi kufanya kazi yao bila kujali kama ni mwanae, kwa maana ya kuchukua hatua kama ambavyo wangefanya kwa mtu mwingine yeyote yule aliyefanya makosa kama hayo, wala hakusema asipewe dhama, sasa kama LEMA ana uchungu sana si akamuwekee dhamana ndugu...
  15. I

    Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

    Huyu LEMA naona sasa amefilisika kifikra, yaani mzazi ameamua kumuadabisha mwanae halafu yeye anataka kuifanya ni ajenda ya kitaifa. HAKIKA HUU NI MSIBA MKUBWA. Nadhani inatakiwa tufike mahali tuwe na uwezo wa kutenganisha mambo ya kifamilia na maswala ya kitaifa.Kwani amejaribu yeye binafsi...
  16. I

    TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Mtu tapeli, aliyefoji vyeti na asiyemuadilifu anapolipwa mafao kusimamia uadilifu ndo maana hii nchi mambo ya ajabu ajabu ni mengi, sijui kuwatetea na kuirudisha hii mada iliyofungwa miaka kadhaa iliyopita TUKTA wanataka kuachive nini[emoji847], my God what is integrity?
  17. I

    TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Hebu fikirueni basi na wale majina yao yaliyoibiwa na hao wadanganyifu, na hebu tuambieni basi maana ya uadilifu ninini?, Tuambieni basi kuwa kufoji ni jambo jema na elimu ya kweli haina maana.
  18. I

    TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Nilipomsikia nilipata wasiwasi sana na hali ya vyeti vyake nadhani kama hana vyeti feki basi miongoni mwa jamaa zake alikumbwa na lile zoezi la kizalendo lililogharimu mchakato mrefu na hela nyingi kulifanikisha ama ana ajenda ya siri ambayo tutaitambua baadae.[emoji848]
  19. I

    Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

    Usema ukweli hili linashangaza na kuduwaza, kuona wahalifu wakitafutiwa mafao kwa uhalifu wao walioufanya.
  20. I

    Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

    Hili lilikua linatarajiwa, nilishawahi kusema humu wakurugenzi walioteuliwa wasingemudu kazi hiyo, kazi ya ukurugenzi ni kazi ya kitaalamu na unadili na wataalamu nguli, kuwapa ukurugenzi watu ambao hawana uzoefu wowote wa mifumo ya serikali ilikua ni majanga na bado ripoti ya CAG ndo itakuwa na...
Back
Top Bottom