Search results

  1. Non stop

    24 series na prison break ipi kali?

    24 ni bonge moja ya serieries ambayo imebeba uhalisia mkubwa sana hasa katika mambo ya usalama na governance. Prison break si kwamba ni mbaya inautamu wake ila 24 funika bovu asee..
  2. Non stop

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Nashukuru sana mkuu. Endelea kutufumbua macho hata kwa makadirio ya mzigo wa kuanzia unaweza kugharimu shilingi ngapi na hata whole sellers ambao wana bei nzuri na dawa nzuri.
  3. Non stop

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Asante mkuu, ishu ni kwamba nimejaribu kufanya baadhi ya mapitio ya taratibu za ufunguaji pharmacy kupitia machapisho mbalimbali ya TFDA, kuna baadhi naona eneo nililopata frame yanakidhi, kuhusu renovation si kwamba anatakiwa apaone kwanza ndo nianze kufanya renovation?
  4. Non stop

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Mkuu sonaderm, asante kwa ufafanuzi wako mzuri sana. Nahitaji muongozo wako, nimepata fremu na ningependa kufanya biashara hii, ila kwa mfamasia amekua akinizungusha zungusha kuja kuona mazingira kama yapo katika standard zao, vipi kuna jinsi nyingine naweza kufanya?
  5. Non stop

    Je, shilingi milioni 2 Itatosha kwa biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme?

    Nashukuru sana mkuu, nipo Dodoma na kwa maeneo ninayoishi kuna shughuli nyingi tu za ujenzi, nilitaka kuanza na tiles pamoja na gypsum boards.
  6. Non stop

    Je, shilingi milioni 2 Itatosha kwa biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme?

    Habari zenu wanajamvi. Mwenye uzoefu wa biashara hii hasa mtaji wa kuanzia na upatikanaji wa vifaa husika kutoka kwa wauzaji wa jumla.
  7. Non stop

    Biashara ya Marumaru (Tiles) mkoani Dodoma

    Heshima mbele wanajamvi. Nina mtaji wa shilingi milioni 10 za kitanzania, nipo Dodoma mjini nafikiria kufungua duka la kuuza marumaru (tiles) na gypsum board. Naombeni ushauri wenu kwa mlio na uzoefu wa biashara hii, je kwa mtaji huo inawezekana kupata mzigo wa kutosha? Na je upatikanaji wa...
  8. Non stop

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

    Labda imebidi alale nae.
  9. Non stop

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

    Alienda kuliwa huyo hakuna lolote hapo. Pole kaka.
  10. Non stop

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    Hahahaaaaa, pole sana mkuu. Lakini umeacha mke nyumbani, kwa nini ulikubali kwenda huko kwa wenye nazo? Mshukuru sana jamaa ako, ila pia hilo ni fundisho, stop cheating kwa wadada wakufikia tu usiojua status zao.
  11. Non stop

    Msichana wa kazi ameniweka pabaya sana

    Pole sana ndugu yangu, hiyo ndoa siyo tukufu tena kama ulivyosema. Umeshaivuruga kutokana na tamaa zako za kimwili. Hata ukimuuliza vipi huyo house girl hawezi kukwambia anatoka na nani hapo mtaani, na mkeo akisema amuhoji juu ya utendaji wake wa kazi ndo basi kabisa anaweza pasua jipu. Cha...
  12. Non stop

    Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

    Hatari kwa ndoa yako hiyo mkuu. Unaposema bado anakupenda ina maana pamoja na kwamba umeoa hatambui kwamba you now belong somewhere? Acha hiyo ndugu nakushauri usiende, hutarudi.
  13. Non stop

    Bora mwanaume wa Kibongo, kuliko mwanaume Mkenya kwenye mapenzi

    Dah uchumba tu ndo hivyo, akikuoa umekwisha achana nae huyo.
  14. Non stop

    Je, ni kweli kuwa wanawake walio wengi hawapendi kutumia Condoms wakati wa kufanya mapenzi?

    Kusema na ukweli hakuna anaependa kuvaa hayo mamfuko. Ukienda nazo hizo pakti utarudi nazo tu.
  15. Non stop

    Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

    No usikate tamaa, bado wapo wakweli na wenye nia ya kua na uhusiano imara. Cha msingi endelea kutafuta.
Back
Top Bottom