Search results

  1. M

    Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

    Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa! Elimu Masters of science in Finance Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi) Umri 33 sina mtoto Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65 Uzito Kg 73. Kipato Monthly income 2300-3000$ natafta Mke wa Kuoa ambaye...
  2. M

    Ngumu sana kupata mke wa kuoa

    Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu sikuijali sana 4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi, Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
  3. M

    Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  4. M

    Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  5. M

    Nina maumivu makali sana kutokana na kupoteza muda kwenda mkoa mwingine kutoa mahari binti akajificha na kutoweka

    Mimi nina maumivu makali, yawezekana kutokana na machungu niliyonayo yatasababisha nisimlie kwa mpangilio usio sahihi Ilikuwa Mwaka 2019 mwezi wa 8 nikaenda Mitaa fulan ya Dar as salaam. Nikaonana na binti mmoja ambaye alionekana mtulivu, ikafika hatua tukawa wote kwenye mahusiano. Baada ya...
Back
Top Bottom