Search results

  1. Chris wood

    Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari mzima hovyo. Anatoroka hadi na Kiepe
  2. Chris wood

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daa umepoteza hela nyingi yani gift 200,000 unaacha ina expire. Ukibeti pesa unayoshinda wanakupa ila gift wanabaki nayo
  3. Chris wood

    Hivi combination ya EGM huwa inaugumu gani

    Haiwezekani. Japo EGM ni combination rahisi sana
  4. Chris wood

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Visa vyako vinazunguka mule mule kwenye story za joohs. Jaribu kutoka njee ya yule bwana. Au ndio lolimodo wako?
  5. Chris wood

    Ingia 2023 na Siri ya kutunza Siri ili malengo yako yasiharibike tena

    Ndefu kama mkojo Lakini uandishi + ujumbe mzuri inasomeka yote. Ujumbe umefika
  6. Chris wood

    Mitego ya wanawake

    Wanaume ndio tumeumbwa hivyo. Hata kama hujampenda mwanamke utakubali hivyo hivyo utimize haja zako kisha usepe
  7. Chris wood

    Mitego ya wanawake

    Halafu mwanaume kumkataa mwanamke hizo ni tabia za kinadada
  8. Chris wood

    Mitego ya wanawake

    Wanawake wana mitego. Ila wanaume tuna mbinu
  9. Chris wood

    Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kuna nyoka hawana mkia wana kichwa kila upande wapo wengi tu
  10. Chris wood

    Vidonda kwenye ulimi

    Kama ni upungufu wa vitamins jaribu kutumia Ascobic Acid inasaidia sana. Ila kama unazama chumvini acha mara moja niliwahi zama nikatokewa na vidonda mdomoni maumivu yake sio mchezo
  11. Chris wood

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mmmh nimeenda kuweka nakuta first half mjinga mmoja ashapigwa chuma 3
  12. Chris wood

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbappe mpaka hapa sikudai dogo langu. Nimepata ya kufutia machozi
  13. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    mbappe wauweeeeee
  14. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Hili ni jini sio mtu
  15. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mbappe ndio King pale Psg alikuwa akiwatawala messi na neymar watu wanasema hana nidham. Leo anamuaibisha king wa mchongo
  16. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Huwa anajifanya goat. Haya apambane na mbappe
  17. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mbappe walegezee kidogo. [emoji238] Anapumulia pumzi ya moto
  18. Chris wood

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Benzema huko aliko atakuwa anacheka sana. Huyu kucha hajielewi
Back
Top Bottom