Search results

  1. M

    Msaada wa kisheria kuhusu suala lililopo CMA

    Suala langu lipo CMA na mwisho wa mashauri yapo mwishoni mwa mwezi huu. Kwani nilichelewa kufungua madai kwa sababu nilipata ajaili iliyopelekea kuchelewa kufungua madai. Na katika kufungua madai niliwasilisha Documenti za matibabu na Ed sheet ambazo zilikubalika kwa ajili ya mashauri ila mwezi...
  2. M

    Nahitaji kujifunza Lugha ya ‘Portugese’ au Kireno

    Natafuta chuo kinachofundisha lugha ya Portuguese au Kireno kwa hapa Dar. Asanteni sana
  3. M

    Msaada wa kujua shauri lililopo CMA

    Naomba kujua nikitaka kumjua MH. Hakimu anayaendesha kesi yangu pasipo kumtumia Mwanasheria wangu je nifaje? Asante
  4. M

    Msaada wa kisheria kwa Mfanyakazi aliyepunguzwa kazi

    Nimepitia mengi magumu mpaka napunguzwa kazi. Naenda moja kwa moja ktk mada. Nilikuwa nimeajiriwa katika Tasisiflani ambayo ipo Dunia nzima. Mwisho wangu wa kufanyakazi ilikuwa ni wiki hii ambayo ni jana. Katika kufanya kazi ktk hii tasisi nimekuwa na madai ya muda mrefu sana kwa madai yenyewe...
  5. M

    Msaada wa Ushauri juu ya Magumu anayopitia Mtanzania maeneo ya Tandika

    Ninaandika hapa nikiwa huzuni juu Madhila anayopitia huyu Kijana Niende moja kwa moja katika Mada husika. Huyu kijana najuana naye tangu miaka ya 2000 katika maeneo ninayoishi ambayo ni pembeni ya Kota za shirika la nyumba lakini hizo Kota waliuziwa waliokuwa wafanyakazi wa shirika husika...
  6. M

    Msaada wa mawazo ya Kisheria

    Katika kuajiriwa kwangu nimekutana na mengi magumu kupitia Manager niliyenaye kama miaka Saba hivi sasa ktk hii Kampuni. Huyu manager alinipandisha daraja mwaka flani na kilichotakiwa baada ya kupandishiwa daraja ni kubadilishiwa Mshahara nilikaa muda kama miezi mitatu bila mabadiliko...
Back
Top Bottom