Search results

  1. M

    Baada ya rais kikwete kutia saini muswaada wa kataba kuwa sheria ,chadema waibuka upya

    kwahyo tunapingaje?..kama maandamano hakuna sasa 2subiri tena wakakubaliane yaliyoshindikana ikulu?..
  2. M

    Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

    tatizo Utanganyika wetu ulishapotezwa kisaikolojia..ona wazanzibar wanavojiita 'wazanzibar'..ni lini mtanganyika amewahi kujitambua kama yeye ni mtanganyika!? Hivi kweli utaifa we2 umezwe na kajisehemu kakutembea masa 2 na kukamaliza? We need our Tanganyika
  3. M

    Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    jerr ni under cover..aliyemshtaki hakujua hlo! Ndio maana yamekwisha! ...jer si m2 wakawaida kama mnavodhani.
  4. M

    Nini Faida ya Kuwa na Serikali ya Tanganyika?

    kwani what do we benefit frm zanzibar katika serikali ya muungano? Ukijibu ,.(kama kuna faida yoyote)..then i'l gv sm adv of tanganyika govnt
  5. M

    CHADEMA Pwani

    hivi 2015 ccm wakiweka mgombea mkristo,ndugu zangu waislam mtapiga kwa chama gan?..lingine, mnadai mmetengwa na kunyanyaswa na serikali tangu uhuru,je serikali iliyowatenga ni ya chadema ee? Kweli kumtawala mpumbav ni rahic..elim ni ki2 cha msing sana
  6. M

    CHADEMA Pwani

    pengo*katoliki; anampigia debe pinda,k.k.k.t wanampigia debe lowasa for2015 sasa chadema ni kanisa gan?..maana nnavojua mimi kanisa katoliki ni mshirika mkubwa wa ccm..rejea kauli za ask.kilain 2005...memorundum of as 92..lowasa na makanisa..sijui chadema walikuwepo?
  7. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    hapo atlist na matumaini. Lets wait n see..nilikuwa sijaridhika tanx 4 hopes..
  8. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    lakini mabadiliko si yatafata wakat jk ameshasain?
  9. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    mimi ni mfuasi wa chadema,lakin kuna jambo 2mefichwa hapa. Sidhani kama alichosema mbowe ndio tu kilichojadiliwa..hivi kuna lolote la msing 2meambiwa hapo? Kwanin bas wasingesema makubaliano ni siri? Mmmh kuna doubts nying sana on myside hasa nlipotazama aina ya wat waliokuwepo! Lukuv,tyson na...
Back
Top Bottom