Search results

  1. K

    Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
  2. K

    Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

    Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
  3. K

    Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

    Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje...
  4. K

    Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

    Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi. Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine...
  5. K

    Rais Samia, peleka muswada Bunge lifute adhabu ya kifo

    SIKU zote ninaamini kuwa jamii inayojadiliana mambo yao kwa uwazi bila hofu ya kuhojiwa na dola ni jamii hai. Utamaduni wa mijadala na malumbano ya hoja huzaa maendeleo. Hii ni kwa sababu sisi binadamu ni tofauti na wanyama hayawani wanaoongozwa na hisia-silika. Hawana utashi ndio maana...
  6. K

    Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi nawasalimu. Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea. Serikali...
  7. K

    Ripoti ya BoT kaa la Moto. Je, Rais Samia atamng'ata jongoo kwa meno?

    Wanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT. Ni hivi, mwaka 2015 katika vikao vya ndani ya CCM na hasa NEC vilipitisha majina 5 ya wagombea ambao ni Magufuli, Membe, January, Asha-Rose na Balozi Amina. Uhakika niliona ni kwamba JK alimtaka Membe aliyekuwa adui wa Lowassa ambaye jina lake lilikatwa...
  8. K

    Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

    Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani. Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake. Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote...
  9. K

    Daniel Chongolo, anza na haya mambo ili kuepuka usaliti wa Bashiru

    Wanabodi, hili andiko ni kutoka kwa Mwandishi Nguli Bollen Ngetti FaceBook page yake. Naisukuma kwenu. _____________________ Daniel Chongolo, anza na haya kuepuka usaliti wa Bashiru Na Bollen Ngetti KWAMBA Katibu Mkuu mpya wa CCM Ndugu Daniel Chongolo ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo, halina...
  10. K

    Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

    Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit. ______________________ KULILIA LEGACY YA MAGUFULI NI UJINGA Na Bollen Ngetti INACHEFUA sana na kutia kinyaa kuona, kusoma au kusikia watu wazima...
  11. K

    Rais Samia Suluhu Hassan mteue Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM, urudishe Amani ya chama

    Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Nakupendekezea kijana Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Huyu kijana ni wa chama kwa asili. Amekulia chama kuanzia...
  12. K

    Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Wanabodi Shaloom! Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji. Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory...
  13. K

    Rais Samia Suluhu Hassan, geuka nyuma uone anachofanya DED wa Temeke, aibu!

    Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi. Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
  14. K

    Naomba mnitoe matongotongo ya Sheria za kiitifaki: Kwanini Waziri Mkuu hajapewa nafasi ya kuongea kwenye uapisho wa Makamu wa Rais

    Kwa nini Waziri Mkuu Kasim Majaliwa hajapewa fursa kutoa Salamu katika itifaki ya kuapishwa Makamu wa Rais Mpango?
  15. K

    Ili kuepuka mgogoro wa Katiba tuendako, tukubaliane juu ya hili

    Kuna swali linaulizwa na wengi, hii Serikali ni ya Awamu ya ngapi? Kwa Utamaduni hatarishi ya CCM watakwambia ni Awamu ya 5 iliyoanza na Dk. Magufuli (the late). Ukweli ninaoujua ni kwamba hii ni Serikali awamu ya 6. By the way hatuna neno "awamu" ndani ya Katiba ya JMT. Ni mazoea tu CCM...
  16. K

    Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  17. K

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  18. K

    Maneno haya ya Kikwete kwa Rais Samia yana ujumbe mzito mno

    Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema: "Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
  19. K

    Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

    Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu". Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote." Kwa kauli hizi...
  20. K

    Ndugu yangu anatafuta kazi ya Udereva

    Wadau, ndugu yangu (mwanaume) anatafuta kazi ya udereva. Umri wake ni miaka 40. Elimu yake ni kidato Cha nne. Anayo leseni class C. Anao uzoefu wa miaka 15 akiendesha watu binafsi/mabosi/viongozi lakini pia magari makubwa ya masafa marefu. Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na...
Back
Top Bottom