a nchi lenye utajiri wa kutosha bt wananchi choka mbaya,wageni ndo mabosi ndan ya nchi yetu wenyewe then tuna sherehekea miaka 50 ya uhuru;uhuru wenyewe uko wapi?TUNAELEKEA WAPI T5ANZANIA????????????THANKX NDINDA KWA PICHA NZURI LABDA ITAAMSHA HISIA ZA WATANZANIA.
Hao watoto wanataka kupanda mnazi huku wakiwa wamevaa msuli we msafiri ndugu yangu unakuwa kama huwajui wabongo kwa kugandamizia idea za wenzao???????????????????????????????????
2kiangalia ukweli ni kwamba hip hop must raise up.lazima wasanii wajue hip hop c lazima utukane but inapohitajika kufanya hivyo basi haina jinsi.labda neno likitoka bila kuliedit ndo wataelewa.tumechoka kuburuzwa tunataka kuona real hip hop.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.