Search results

  1. S

    Yanga yamchakaza Jamhuri Kiwelu aka Julio

    ndiyo! yanga 8 -0 RTC Kagera ikiwa chini ya marehemu Zacharias kinanda 'sach' lunyamila akipiga sita peke yake in 1990s
  2. S

    sawa uhamiaji, zimamoto ni pa kuzimwa!

    ni declare interest, sijawah kuapply idara tajwa....lakini kwa vilio vya walioomba ni wazi kuna tabia ya uhamiaji ilichukua hatam pale zimamoto. ni vema kama tzgov ikaendelea sehem nyingine il haki ictendeke pekee bali ionekane kutendeka kwa wtz wote! over
  3. S

    Dhana ya kuwa 'Housewife' na maisha ya sikuhizi...unalionaje hili jambo?..

    For future, domestic economy is must! unaweza fiwa na mumeo, sasa umekaa hme tu, who to push life foward? sipend wote waajiriwe bali kujiingiza kwenye biashara ndogo muhimu pia.......over
  4. S

    Wambura atamwongoza nani Simba?

    Ni kweli Michael Richard Wambura anapambana kuhakikisha anapata uongozi Simba. Wakati akifanya hivyo, kumekuwepo na nguvu za ndani na nje ya Simba SC. kuhakikisha hapati fursa hiyo. Kutokana na hali hiyo, sasa ni wazi kuwa iwapo atavuka kikwazo cha sasa Simba itapasuka kwani kuna uwekezaji...
  5. S

    Tanzania to train 1,000 Somali soldiers amid concerns over terrorism backlash

    huu sasa upuuzi wa mwisho...natetemeka kwa hasira watafundishwa watu ambao hawajastarabika namna ya kushika silaha? vitu vingine sasa vya kuacha
  6. S

    Kuna masharti gani kwenye huduma ya M-pawa ya Vodacom

    wanasema ukiweka riba unayopata ni kati ya 5-6%. sasa ikiwa umeweka 10,000 ukapata riba ya asilimia tajwa ukasema unatoa hiyo hela unakatwa 1500, sawa na 15% ya principle, sasa hapa utakuwa umefanya nini? anyway hii idea ni nzuri just for serving culture which is a problem to our society.
  7. S

    THE KAGERA WAR: Facing naked Ugandan women on the front line

    lakini hii ni sehemu ya nne ya vita the citizen, hivyo si makosa kwani nao wanahisi wakitumia title 1 itachosha hivyo kucheza na angle ndo mpango
  8. S

    Huyu ndiye raisi mpya wa malawi

    zaidi ya yote kakayake, bingu ndiye aliyeanza kukinukisha kwa kuyaruhusu makampuni ya uk kutafiti wese na gas na kumwachia joyce zigo, huenda peter akaendeleza ......
  9. S

    Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    simparaganyike simwalumwalu jamaa (vimevurugika) babake (viko hovyohovyo)
  10. S

    Andika kwa swahili: 12000 na 10002

    12,000....elfu kumi na mbili 10,002......kumi elfu na mbili
  11. S

    Kiswahili cha Kenya

    umeharisha we lakini leo umekunya .....umeahirisha.....leo umekuja
  12. S

    Serikali kutumia makomandoo kulinda tembo na faru

    1. serikali kutumia makomandoo 2. serikali kuweka camera jijini kunasa wezi 3. serikali kufanya doria yote ya nini kwani wezi ni shemeji, ndugu wa serikali hata waambiwe kwanza ili wajifiche?
  13. S

    Taifa kubwa, Rais dhaifu

    yanayoendelea Nigeria, wasichana zaidi ya 200 kutekwa, watu kuuawa, nyumba kuchomwa moto huku Nigeria ikitangazwa taifa lenye uchumi mkubwa, je Goodluck Jonathan ana uhalali kuwa rais wa taifa hilo la Africa Magharibi...
  14. S

    Esther Bulaya aanza kupigwa vita

    lakin kuna logic, tuache siasa. fifa na tff washakataza hii kitu. ijulikane kuwa ikiwa bulaya anaweza kuandaa, wasira anaweza. mnyika, zitto nk.
  15. S

    Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

    mei mosi hakuwa uwanja wa taifa, siku ya wafanyakazi kweli?
  16. S

    Ronaldo alimaanisha nini hapa?

    endapo msimu huu watachukua hilo kombe, itakuwa mara ya kumi. vidole vyake vya mikono~viko kumi, ndo maans anaona ndoto inakamilika
  17. S

    Watu wa Niger na Ecador kwa kiingereza

    Niger~nigeriens, Ecuador~ecuodorians
  18. S

    Ya S. Sudan na mtazamo wa Mwl. Nyerere

    Walisema wanaonewa, wametengwa na rasilimali hawaifaidi. Suluhu baina ya S na N. Sudan haikutafutwa badala yake walishauriwa wajitenge. wamejitenga na zaidi yake wao kwa wao wanabaguana zaidi. ugomvi unaelezwa umesambaa hadi Kenya. inaelezwa wasudan waliopo kenya wanakwaruzana kwa tofauti za...
  19. S

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari no 4; kifo cha Mandela kwa sababu ya historia ya kiongozi huyo enzi uhai wake. 1. Viongozi wa dunia walihudhuria msiba 2. Wasanii na wanamichezo walikuwepo. 3. Watu wa kawaida walifuatilia msiba huu. 4. Mataifa mengi yalipandisha bendera nusu mlingoti
  20. S

    Taarifa: Rais Kikwete aagiza bendera kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu za maombolezo ya Kitaifa y

    mwandishi wa habari wa Rais Msaidizi? semantically correct, grammatically incorrect! sahihi ni "mwandishi wa habari msaidizi, ofisi ya rais" ......kumalizia na rais msaidizi implies rais ndiye msaidizi , the implication that we have senior president
Back
Top Bottom