Search results

  1. M

    Sept 11 ni tukio la kigaidi la kufikirika, wamarekani wana siri nzito

    we naona unabadilisha mada! Mi namshambulia kupe?sio yeye amenishambulia?ama kweli nyie ndo watanzania halisi!soma comments za kupe! Then pitia maneno yako! Afu muungwana kama huna majibu ya kilichoombwa na fikiri ni busara kufunga page na kuendelea na mambo mengine!huwez jua kwanini natafuta...
  2. M

    Sept 11 ni tukio la kigaidi la kufikirika, wamarekani wana siri nzito

    we kumbe kupe! hata mada huijui, siasa hujui, plan za wamarekani hujui basi umeingia kwenye group ya great thinkers unajiona na wewe great thinkers! anyway tupo hapa kuwasaidia, usa ni nchi inayoongoza kuratibu tukio kupitia mgongo wa mtu au nchi ikiwa inataka jambo fulani! uafrika wako sio hoja...
  3. M

    Sept 11 ni tukio la kigaidi la kufikirika, wamarekani wana siri nzito

    kidogo nikushukuru nikijua labda jina unalo! labda nikueleweshe! hili tukio ni event ilipangwa kwa maslahi yao binafsi!linafikirika kwani hakuna adui wa marekani anaitwa Osama, ni jinsi wao wenyewe walivyocheza na karata na kuaminisha dunia juu ya osama huku wao wakiwa na siri moyoni mwao!
  4. M

    Sept 11 ni tukio la kigaidi la kufikirika, wamarekani wana siri nzito

    Ndugu wadau, ikiwa leo ni maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama, naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania aliyeelezea jinsi tukio la sept 11 lilivyopangwa!
  5. M

    Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema

    ukimaliza unachofanya nenda gereji iliyopo karibu, waambie wafunue kichwa chako wakaze tena hizo nuts,then mwite fundi welding achomelee zisiachie tena!unaabisha na post zako za chekechea!
  6. M

    akaulizwa na waandishi

    Dr ana akili sana! Vilevile suala la mwema kujiuzulu ni sawa!kwani ni ukweli ameshindwa kazi
  7. M

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    wanaotaka waendelee kwani inaendeshwa kwa pesa yao na si pesa ya wananchi kama inavyoondeshwa tbc
  8. M

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    jamani hivi mtu kama rajeo anayeendekeza uchochezi wa kikabila administrator wa hii forum yuko wapi????kazi yenu ni nini hasa hali mshajua kuwa ukabila, udini ni sumu kwa ustawi wa taifa letu!naomba huyu mtu anayejiita rajeoafungiwe haraka sana
  9. M

    Polisi wafanya unyama mpya mgodini Nyamongo

    nadhani uelewa wako wa sheria wako na polisi wako ni mdogo mno,hivi uanjua polisi anatakiwa kufanya nini kwa mwanchi au kwa kuwa wananchi elimu ya urai kwao ni ndogo sana?usitetee uovu, everything is already naked! Time is almost up!
  10. M

    Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM

    Tunaomba amwimbie kanumba tena amshirikishe elizabeth michael aka lulu!
  11. M

    Clouds tv: Tatizo la sauti (ktk king'amuzi cha Start Times)

    Nimekuwa nikifatilia hii channel via startives taklibani miezi miwili sasa, hii cahnnel imekuwa ikiniboa sana kwa kukosekana kwa sauti,yani unaangalia picha tu kama unaangalia album, tunaomba uongozi wa clouds ukishrikiana na startimes mshughulikie tatizo hilo kwa tunakosa uhondo wa sportbar!ni...
  12. M

    DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

    we ni mfu na mkatautepe mwenzako!
  13. M

    Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

    tanzania ya kwetu hii tunahitaji watu wapatane!
  14. M

    TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani

    6 na mwakyemebe wanahusika vp?
  15. M

    Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

    thanks guys for your good and chelenging advise, i do appriciate for what u contributed on thisn topic, no one to blame other than me myself and i, its a result from wrongs doing commited by myself, i feel bad for everything, i bag sorry to you guys to my gf, to my brothers and sisters, sorry to...
  16. M

    Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

    i am so sorry guys, i am not quiet sure why i did this, i feel a burde on my shoulders, i felt members in jf will my lean on point but most of them are pushing me on the turnel!please guys accept my a apology, i am even planning to talk with my girlfriend about this in the coming two to three...
  17. M

    Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

    Da inanuma nakosa raha kabisa!nikiwa nae kila akufungua mdomo nashtuka nahisi tayari kashajua yani sina raha ila nitamwambia!i m sorry guys!
  18. M

    Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

    Nina mtu wangu na nampenda sana, kuna siku nilimake apointment na mdogowake na gf wangu na lengo kuna ishu nilitaka kujua juu ya gf wangu, cha ajabu alimponda sana dada yake, sikujali zaidi niliona vema nifanye analysis ndo nihukum, wakati tupo kwenye gari namrudisha shem wangu alikuwa mara...
Back
Top Bottom