Search results

  1. R

    Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

    Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi. Twende Kwenye mada: Kwenye Maisha yako ushawahi...
  2. R

    Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa. Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani. Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa...
  3. R

    Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  4. R

    Huwa mnaishi vipi na watu wanaokuomba hela kila mnapokutana?

    Habari za muda huu ndugu zangu, nimekuwa na changamoto nyingi ila kuna moja nikitafakari naona haijakaa sawa. iko hivi; inatokea tu mtu from no where hasa ninaofahamiana nao wananiomba pesa, kuna muda nawapa muda mwingine nakaza. Hii hali inatokea mtaani kwa watu tofaut tofauti na hata...
  5. R

    Nahitaji mashine ya ps4 Mwanza

    Nahtaji mashina ya ps4 used, ikiwa mpya pia tutazungumza kama bei itakua rafiki kwangu. Kwa aliyenayo nje ya Mwanza, nalipa baada ya kupokea machine pia isiwe na changamoto yoyote kuanzia pad zote adi machine yenyewe. Nipo Mwanza. 0767911491
  6. R

    Ni siku ipi/zipi ukisex na mwanamke unapata mtoto wa kike?

    Habari za wakati huu wapendwa. Asee hakuna jambo zuri kama kumshawishi mwanamke akubaliane na kile unachohtaji kwake(penzi),inaleta raha zaidi pale mwanamke aonyeshe kukukazia ila ukzdisha sera jimbo unakabidhiwa. mwezi huu nmeattempt kuapproach wadada si chini ya watano,nashukur hakuna...
  7. R

    Plot4Sale Eneo linauzwa Malimbe jijini Mwanza

    Habari za majukumu wananch!. kuna mzee mmoja anauza eneo lake alinifata mimi akijua nina mpunga,kumbe siri ya mtungi naijua mwnyewe.. eneo ni tambarare ukubwa 30m*70m Bei mil 24.5 location:Mwanza, Malimbe karibu na beach ya havash,jembe ni jembe,samanene inshort eneo ni very potential,mwenye...
  8. R

    Sijui wapi nakosea, kila nikipata nafasi ofisini linatokea jambo la kuniweka nje

    Wakuu habari za muda huu. NAOMBA NIFUPISHE KAMA IFUATAVYO; Hadi namaliza chuo mwaka huu,nime-attempt kuacha chuo mara nyingi na nimejaribu kufanya hvyo tangu nikiwa mwaka wa kwanza ila ninamshukuru mungu hadi navyoandika uzi huu nimemalza miaka minne japo bado nina viporo viwili ila nina plan...
  9. R

    Ni nafasi ipi nzuri ndani ya hotel ya kufanyia kazi

    Habr za wakati huu ndugu zangu. iko hivi.. Kuna Jamaa yangu kanipa mchongo wa kufanya kazi hotelini Zenji, nafikiri ni hizi hotel za kitalii au zinazopata wageni kutoka nchi tofauti muhimu ameniambia kama kingereza kinapanda kazi nitapata.. Kuhusu lugha hakuna tatzo japo sizungumzi english mara...
  10. R

    Viongozi mlioko juu naombeni mliangalie kiyakinifu hili swala.

    Wakuu,wakubwa kwa wadogo poleni na majukumu. kuna jambo nataka kushare nanyi wapendwa linaumiza sana nafsi yangu kila nikitafakari. kuna jambo Viongoz wa tz bara ni kama bado vipofu hiyo haiguarantee hata sisi wananchi tukae kimya au maslahi binafsi ndugu zangu?.. kwanini bara tumeruhusu kwny...
  11. R

    Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea

    Habari za wakati huu, Bila kupoteza naomba mnipe ushauri either wa kitabibu au vyovyote. ni mieza kadhaa imepita tangu hili tatizo nianze kuliona. Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn sperm zinatoka kidogo sana tofauti na nlivyozoea. mwenye kujua tiba ya hili tatizo naomba nipate...
  12. R

    Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

    Habari za wakati huu, Nipo kwenye wakati ambao unanifanya niwe na maswali mengi dhahania, japo uhalisia wa mambo nauona. Nilipopanga, kuna jamaa ameoa mwanamke ambaye nilikuwa nafahamiana naye ni mwanamke ambaye nilijua ni mke wa mtu, kumbe hakua mke wa mtu, alikuwa single, totally single...
  13. R

    Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

    Habari za wakati huu, Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine. Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae. Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
  14. R

    Life! Sitolisahau hili

    Habari za muda huu wakuu, Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔 Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu pekee unaweza kukaa na serikali ya akili na kupata majibu juu ya kile unachopitia instead ya kueleza...
  15. R

    Naombeni code za hii ndoto

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti. Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza...
  16. R

    Nimechezea za mbavu leo

    Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima. Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo...
  17. R

    Simu yangu imejilock baada ya kucancel kabla sijamaliza kujaza details

    Wakuu habari za saa hizi... Naombeni msaada wenu, Nilikua nabadili taarifa za simu yangu coz mtumiaji anaenda kuwa mwingine nilichokosea ni kucancel kabla sijamaliza kujaza detail ikawa imejilock inawaka tu na kuzima muda wote but nikibonyeza power button na ya kupunguzia sauti inazima ...
  18. R

    Nahitaji ps4 machine

    Hello.. nina hitaji ps4 used,mwenye ako nayo au kuuza nicheki kwa 0622902768 mhusika awe mwanza..nipo mwanza pia.
  19. R

    Msaada, simu yangu inagoma kuandika

    Habari,poleni na majukumu nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita,ktokana na ukata wa pesa ukanfanya kukumbuka simu nlikuwa nmeiweka ndani tecno pop 2f ilovunjika kioo siku za nyuma(kioo complete)tatizo inastuck sana&nkiwa naandka namba ili npate 1 lazma nbonyeze 2,vivyo hvyo ata nkiwa natype...
  20. R

    Msaada kwenu mabaharia...

    Hello JF.. Naomba niende direct kwnye mada husika. Tangu nipo 1st year.nlikua na ukaribu na binti fulani,nlijaribu kumuimbisha dana dana zkawa nyngi ad tkawa marafiki wakubwa yaani hawez kaa dk.10 hajaniona wala kunisemesha..nkiwa mbali atanpgia ama kunitext ajue nlipo alnjal sana but just a...
Back
Top Bottom