Search results

  1. C

    JK's Greatest speech: Ipi ilikuwa Best na ipi ilikuwa Worst?

    Nyingine iliyoniboa ni ile iliyozima mgomo wa uliokuwa umeandaliwa na tucta akiongea na wazee wa dsm. Nafikiri watanzania wote tunapaswa kupimwa akili. tunawezaje kuongozwa na mzee kama huyu.
  2. C

    Polisi wamiminia risasi daladala

    Hivi hii dhana ya polisi jamii mnaionaje wana JF, inawezekana vipi wakati polisi na wananchi ni maadui? umefika wakati ni heri kukutana na mwizi kuliko kukutana na polisi. hii ndiyo miaka hamsini ya uhuru?
  3. C

    Polisi wamiminia risasi daladala

    eeh hiki ndicho kisiwa cha amani ninachokifahamu.
  4. C

    Maalim Seif Hamad (Katibu Mkuu - CUF) na Kashfa ya Ufisadi wa 500M za Chama

    kwa sasa yuko bize anamtumikia mumewe ccm na anayoyasema ndiyo katumwa na mumewe
  5. C

    Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

    huyu jamaa kapata wapi hizi data? atupe ushahidi asije akatoka mtu na fikra zake tu akaja kuchanganya watu hapa.
  6. C

    List ya vigogo wanaotakiwa kuachia nyadhifa zao

    tuandamane nchi nzima tuwatake wote wajiuzulu, wakiongozwa na bosi wao.
  7. C

    List ya vigogo wanaotakiwa kuachia nyadhifa zao

    Mimi naanza kuingiwa na mashaka na cdm. nchi inaangamia hii na wao ndio tunafikiri watatuongoza ktk kuiokoa. Ni kweli wanapiga kelele lakini kuna maamuzi magumu ambayo wanapaswa kututangazia ili tuanze utekelezaji mbona hawasemi wamekaa kimya? au kile kikao chao na MH wa magogoni walipewa kitu...
  8. C

    Hatimaye Fedha za Rada Chakavu (Tsh 29.5 bilion) toka BAE systems zarejeshwa BOT (Tanzania)

    this is too much umefika wakati sasa watanzania ni lazima wachukue hatua juu ya mustakabali wa nchi yao kwa sababu waliowakabidhi mali kuilinda wanashirikiana wa wezi kuwaibia.
  9. C

    Internet ya bure!!!

    hapana huu si ufisadi kama wahindi wanaweza bila shida basi gharama kubwa ndo ufisadi wa kwetu
Back
Top Bottom