Wewe jamaa haueleweki. Kuna nyuzi kibao unamsifia JPM na kuna nyuzi kibao unamponda JPM. Kuna nyuzi kibao unamsifia mama na kuna nyuzi kibao unamponda mama. Kuna nyuzi kibao unamsifia Bashite na kuna nyuzi kibao unamponda Bashite. Kwa kifupi wewe ni shithole.
Acha kuongea kitu usichokijua. Huko chuoni kuna kipi ambacho mwenye cpa hajakisoma?
Kwa hiyo huo utaratibu waliuanzisha kwa faida ya nani? Anyway mahakama itatoa direction.
Acha kuongea kwa kukaririshwa.
Unaongea tu kwa sababu hizo terminology umezisikia mahali. Lazima uelewe unaposema professional qualification kuna nini ndani yake.
Labda kwa kukusaidia tu professional qualification ndani yake kuna hiyo academic qualification.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba...
Shida sio kusoma degree kwanza. Kwani wangeweka kigezo cha degree kama minimum entry ya cpa nani angelaumu?
Shida ni kwa nini serikali ilianzisha kitu hiki. Jaribu kuwa mwelewa unaposoma kitu.
Kama ilivyo kwa mataifa mengine duniani, Tanzania pia ilianzisha chombo cha kusimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni Taasisi inayosajili na kusimamia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu na kudhibiti taaluma ya Uhasibu nchini.
NBAA...
Hivi haya matokeo yanatoka baada ya muda gani? I mean oral ikishafanyika matokeo ya waliopangiwa nafasi za kazi yanatoka baada ya siku ngapi? Pia nataka kujua hivi zile alama unazopata kwenye written huwa zina effect kwenye overall ya matokeo?
I mean kwa mfano kwenye written umepata 80% ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.