Search results

  1. J

    Utapeli utapeli, ogopa namba hii.....

    Ni kweli, mwenye hiyo namba aliwahi kunitumia sms akijifanya kuwa ni mfanyakazi mwenzangu, tena kataja majina yote, eti yuko hospitali nimtumie hela (alitaka 40,000). Alichokosea ni kuwa huyo aliyemtaja, kwa cheo chake asingeweza kuniomba hela, alafu hela yenyewe 40,000. Nilipoenda idarani...
  2. J

    Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu

    Mimi hili naliona ni hatari sana kwa nchi. Niwakumbushe kuwa kipindi cha nyuma (70s) ulitokea mgomo wa wanafunzi chuo kikuu. Serikali ikawalazimisha tena kwa vitisho, mgomo ukaisha. Lakini wakaapa kuwa wataenda kutumikia nchi miili tu sio roho zao. Kwa tathmini yangu hiyo batch ya wanafunzi...
  3. J

    Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu

    Mimihili naliona ni hatari sana kwa nchi. Niwakumbushe kuwa kipindi cha nyuma (70s) ulitokea mgomo wa wanafunzi chuo kikuu. Serikali ikawalazimisha tena kwa vitisho, mgomo ukaisha. Lakini wakaapa kuwa wataenda kutumikia nchi miili tu sio roho zao. Kwa tathmini yangu hiyo batch ya wanafunzi...
  4. J

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    Kwa yale yaliyoripotiwa hapa kwenye forum hakuna mahali ambapo walikubaliana Raisi asisaini. Mh. Mnyika alisaini bila kuwa makini, au alisaini kwa uelewa wote na sasa kwa kuona watu hawakuridhika anatoa visingizio. Nadhani tujifunze kuwa nchi imefika hapa (pabaja) kwa viongozi kutia saini kama...
Back
Top Bottom